CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Tatizo hatafanywa kitu ndo maana hadi sasa yuko kazini, alitakiwa ajiuzuru kupisha uchunguzi huru
 
Hii ripoti ya CAG iliyosomwa hivi karibuni si ya mwaka 2021/2022. Sasa maswala ya kina Biswalo na JPM yanaingiaje huku tena.
 
Sukuma gang na ukiona mradi una ufisadi basi jua uko chini ya sukuma gang
Haya majitu yanakera mno! Yaan nailaan kamati kuu ya ccm ya 2015 kutuletea hii jamii ya kunya kunya miliman na juu ya mawe iongoze nchi yetu! Hayo ndo mavuno tunayovuna tusiokuwa na hatia
 
Marehemu alikuwa mwizi wa kutisha Ila wajinga wengi hawawezi kuliona hili
Kama tunataka kumchunguza marehemu, basi uchaguzi mkuu uitishwe , apatikane Rais mpya, maana rais wa sasa na waziri mkuu wake walikuwa kwenye ile serikali ya Marehemu hivyo hawawezi kubaki salama.
 
Shida ni Kwamba RIPOTI ya CAG Haina nguvu kumkamata mtu yoyote aliyemtolea recommendations za kuchunguzwa au kukamatwa. Mchawi BUNGE tuuu kama wataamua kuazimia. Asa najiuliza kama mpunga aliopiga DPP is real akiamua kuwahonga S na NS na kamati zake za uongozi hakuna kitakachofanyika. Mwenye Hela sio mwenzako asee
 

Marope amekuwa mpole sana siku hizi. Zile harakati zake ni kama zimedhibitiwa ama ameona hazimsaidii.
 
NAUNGA MKONO HOJA KAMA KWELI TUNAPINGA WIZI NA UFISADI BISWALO NA WATENDAJI WOTE WA OFISI YA DPP NA BAADHI YA MAHAKIMU WACHUNGUZWE
 
NAUNGA MKONO HOJA KAMA KWELI TUNAPINGA WIZI NA UFISADI BISWALO NA WATENDAJI WOTE WA OFISI YA DPP NA BAADHI YA MAHAKIMU WACHUNGUZWE
Hiki ni kilio cha watanzania wote
 
Kwa hiyo kutojifanya mzalendo ndio aruhusu upigaji? Alafu JPM alikuwa hajjfanyi ni mzalendo kweli kweli. Miaka 5 tu amaefanya makubwa kama Thomas Sankara
Sankara hakuiba
 
Biswalo alikuwa ndiye msiri na mhifadhi wa fedha za dhuluma kutoka please bargain kwa niaba ya Magufuli. Na Wankyo Simon alikuwa msaidizi wake. Hawa majamaa yana fedha nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…