CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

Wewe naPolepole akili yenu ni sawa kamuulize Mavieitee alinunua cash.

kwan kile kiabanda chenye mpesa pemben si mlikua mmekopa pale? imekuaje mnataka kuchangisha kujenga ofisi ingine kwa kuchangisha watu ilihali mnaweza kukopa?
 
Kwa akili yako unavyoona matajiri wa bongo wa ma Bus ukiona kamwaga Yotong brand new 20 au 30 unadhani kazinunua cash zote siyo?
Lakini unadhani anaenunua kwa mkopo anapenda au ni shida zake ndo zinamuhangaisha? kama hauna Cash lazima utakopa tu.

Yani kama unaenda dukani unataka shati alafu unaambiwa kwa Cash ni 50,000 lakini kwa mkopo ni 120,000. sasa wewe mwenye akili utachagua mkopo au cash?

kumbuka kwenye mauzo ya mkopo umeongezewa cha juu 70,000 kucover risks maana kuna uwezekano ukashindwa kulipa au serikali ikabadirika mukaanza mabishano n.k.

Nachosema, kama umetajiwa bei ya kitu na ukawa kwa bahati nzuri cash unayo, lipa kwa Cash u save hiyo nyongeza ya 70,000.
 
Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga

sasa mnategemea kila kibanda pale ufipa kije kuondoka na akili kam izi? kakopeni mjenge ofisi ya chaama mnaogopa nn kusumbua watu kuchangisha
 
Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Kumuelewa nini, ukikopa unakutana na riba, ukinunua cash, you just pay cash then off you go.
 
Achana na hao watu mkuu, hawa ndio wanapenda kuitwa maskini alafu wanapiga makofi.

Akili zao ni za kimaskinituu wanawaza kushindwa kila siku.
 
sawa. Ila uwe kukopeshwa kama huna collateral sawa na mkopo wako.
 
Mimi sio mchumi ila mkopo una muda wa kulipa wala hauangali hizo fluctuation na hiccups, labda kama kuna retention fee. Tatizo hata sio ilo mi nakuambia kopa kulingana masharti fanya kitu kitakacho kuingizia pesa then rudisha hela ya watu alafu sepa.
 
Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Assad hamna kitu. Alikuwa anaendeshwa na mihemko. Nmegundua tatizo lilikuwa ni nini. Hakuwa smart kama nlivyodhani.
 
ukikopa world bank kiuhalisia unakopa katika mataifa ya G7, unakopa USD , but mfanyabiashara anakopa Tsh, whether ataweza kulipa ama atashindwa kukopa no effects will happen katika mzunguko halisi wa Tsh, sasa ushindwe kulipa china ela yao
Nakuelewa sana, tatizo wanaokubishia hawana maarifa ila wana elimu za makaratasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…