Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yuko kijiweni mpaka sasa,kama ana elimu ya kutisha si angekwisha bembelezwa na taasisi za kimataifa?Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Prof Assad hayuko Kijiweni.Mbona yuko kijiweni mpaka sasa,kama ana elimu ya kutisha si angekwisha bembelezwa na taasisi za kimataifa?
Kwani mleta uzi anaelewa hata anachokisema? Hoja alizopewa yeye kaona za kwake ni bora zaidi. Mengi yamebadilika sana kwenye majukwaa ya JF.
Anakuja kihiyo mmoja anakwambia eti ukikopa 100k unalipa 800k hiyo riba ni hasara. Hafahamu kuwa at a point when CAP RATE is higher than INTEREST RATE mfanyabiashara anafanya biashara at the expense of a lending institution.
This goes out to stakehigh ........ my brother or sister perhaps usijionyeshe ujinga kiuvyepesi hivi. Unaongelea Time Value for money as if ni concept uliyoitunga Nzega.
Mkuu una uhakika emirates na QR wamenunua ndege kwa cash? https://cdn.ek.aero/downloads/ek/pdfs/report/annual_report_2021.pdfelfu kumi ya 2021 sio sawa na 10,000 ya 2030 ndo maaana moja ya masharti ya kukopa ni riba kila mwaka unavopita kufidia inflation, hakuna shirika lolote ulilotaja apo limenunua kwa mkopo ndege zake zozote! hao wote ni ni special design orders
Ujinga haufichiki mkuu... waswahili waliliamini hilo tangu zama.Ungekua very wise kuficha ujinga wako, nini kinakusukuma kutumia Economical terms ambazo ni za kujionyesha unajua what your talking about wakati kiuhalisia hamna unachojua?
- WHo does international trade with CAP RATE?
Yaani wewe unaandika kuhusu mada ambayo huna hata ule uelewa wa mwanzo tu. Miradi mikubwa kama ya marekebisho makubwa ya uwanja wa ndege huendana na mikopo. Magufuli kakopa sana tu kwenye miradi mingi. Kosa lakevni kukopa sana mabenki ya biashara, kama ilivyo kwenye hii ishu ya ya Entebe, badala ya kukopa CONCESSIONAL loans, mfanovtoka World Bank na ADB.vKwa hiyo nyie wapenzi wa Magu mnaamini Magu alianza kujenga SGR, Meli, madaraja makubwa, kwa keshi? Mnaota ndoto za mchana.Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe International Airport.
Some of the unfavourable provisions in the loan agreement that Uganda signed with the Export-Import (Exim) Bank of China on March 31, 2015, if not amended, expose Uganda’s sovereign assets to attachments and take-over upon arbitration awards in Beijing.
Our investigations found out that any proceedings against Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) assets by the lender would not be protected by sovereign immunity since Uganda government, in the 2015 deal, waived the immunity on airport assets.
Highly-placed sources said the risk presented by the Financing Agreement on March 7, 2019, prompted Uganda to send an 11-member delegation to Beijing to plead with Exim Bank to renegotiate the clauses now impugned by Kampala.
Taarifa zaidi: Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
JPM alikuwa na akili na mingi.Ndo maaana alitolewa ile nafasi mkuu, hakustahili kabisa!
Alichozunguzia Prof. Assad ni kunua ndege kwa Cash. Ndenge ni Vitu vya kufanyia Biashara. Mashirika makubwa mengi ya Ndege duniani hawanunui ndege kwa Cash, bali wana lease na Faida wanayoipata ndio wanalipia deni la kulease. Pili hakuna Serikali hata moja Duniani ambayo inafanya biashara isipokuwa ni kukushanya kodi na kutoa huduma kwa wananch wake. ATC linajuilikana tokea kuanzishwa kwake kua halijawahi kuingiza faida.Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe International Airport.
Some of the unfavourable provisions in the loan agreement that Uganda signed with the Export-Import (Exim) Bank of China on March 31, 2015, if not amended, expose Uganda’s sovereign assets to attachments and take-over upon arbitration awards in Beijing.
Our investigations found out that any proceedings against Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) assets by the lender would not be protected by sovereign immunity since Uganda government, in the 2015 deal, waived the immunity on airport assets.
Highly-placed sources said the risk presented by the Financing Agreement on March 7, 2019, prompted Uganda to send an 11-member delegation to Beijing to plead with Exim Bank to renegotiate the clauses now impugned by Kampala.
Taarifa zaidi: Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
Mkuu si lazima kukomenti nje ya upeo wako hili sualaTuache upuuzi kila siku sisi wabongo tunanunua vitu kwa fedha taslimu , nenda kwa Mangi/mpemba/Mkinga/Mahindi n.k
Kwa hiyo wewe na Me a professor ni
Alichozunguzia Prof. Assad ni kunua ndege kwa Cash. Ndenge ni Vitu vya kufanyia Biashara. Mashirika makubwa mengi ya Ndege duniani hawanunui ndege kwa Cash, bali wana lease na Faida wanayoipata ndio wanalipia deni la kulease. Pili hakuna Serikali hata moja Duniani ambayo inafanya biashara isipokuwa ni kukushanya kodi na kutoa huduma kwa wananch wake. ATC linajuilikana tokea kuanzishwa kwake kua halijawahi kuingiza faida.
Huwezi elewa.. huna akili na elimu hiyo wewe nenda kacheze iyena iyena ccm namba1.kwanini unataka kuaminisha watu kwamba anaenunua kwa cash hana akili?
Yaani wewe unaandika kuhusu mada ambayo huna hata ule uelewa wa mwanzo tu. Miradi mikubwa kama ya marekebisho makubwa ya uwanja wa ndege huendana na mikopo. Magufuli kakopa sana tu kwenye miradi mingi. Kosa lakevni kukopa sana mabenki ya biashara, kama ilivyo kwenye hii ishu ya ya Entebe, badala ya kukopa CONCESSIONAL loans, mfanovtoka World Bank na ADB.vKwa hiyo nyie wapenzi wa Magu mnaamini Magu alianza kujenga SGR, Meli, madaraja makubwa, kwa keshi? Mnaota ndoto za mchana.
AFRICA KUWA KOLONI JIPYA LA CHINANinachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Ujinga haufichiki mkuu... waswahili waliliamini hilo tangu zama.
Hakuna economical term hapo na wala mambo hayo hayajafungiwa kwenye Masanduku ili yajulikane na wachache. Na wewe unaweza kuyajua pia na kuachana na dhahania zako.
Post #106 imeelezea Vyema umuhimu wa thamani ya pesa kwa muda.