CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Mbona yuko kijiweni mpaka sasa,kama ana elimu ya kutisha si angekwisha bembelezwa na taasisi za kimataifa?
 
Kwani mleta uzi anaelewa hata anachokisema? Hoja alizopewa yeye kaona za kwake ni bora zaidi. Mengi yamebadilika sana kwenye majukwaa ya JF.

Anakuja kihiyo mmoja anakwambia eti ukikopa 100k unalipa 800k hiyo riba ni hasara. Hafahamu kuwa at a point when CAP RATE is higher than INTEREST RATE mfanyabiashara anafanya biashara at the expense of a lending institution.

This goes out to stakehigh ........ my brother or sister perhaps usijionyeshe ujinga kiuvyepesi hivi. Unaongelea Time Value for money as if ni concept uliyoitunga Nzega.

Ungekua very wise kuficha ujinga wako, nini kinakusukuma kutumia Economical terms ambazo ni za kujionyesha unajua what your talking about wakati kiuhalisia hamna unachojua?
- WHo does international trade with CAP RATE?
 
Bado CAG yuko sahihi.Ni mtu mjinga ndo hununua vitu kwa cash.Kitu kama Ndege hupaswi kabisa kununua Cash,Gari hupaswi kununua Cash,Nyumba hupaswi kujenga kwa Cash Vitu pekee unapaswa kulipa Cash ni chakula tu.

Kwa nini?

Shilingi 10,000 ya mwaka 1980 haina thamani sawa na 10,000 ya mwaka 2021.So mtu ambaye alitumia 10,000 mwaka 1980 alifanya nayo mambo mengi sana ila mwaka huu hawezi kufanya nayo chochote zaidi kula bia moja na kulala.

Sasa unapotumia cash kununua long term asset unakuwa umepoteza kwa sababu hio hela unakuwa umeifungia.Ndio maana watu wanaojua huwa wanavitumia kama dhamani kuombea mkopo hii inaitwa equity release ya asset.

Unapokopa unakuwa unalipa kidogo kidogo kwa muda wa miaka 20,kw hivyo basi ile pesa yako cash unakuwa unaitumia kwa ajili ya kuzalisha thamani zaidi.

SO kwa ufupi unapokopa unapata double gains ndio maana hao wanaokukopesha wanatoa hio huduma kwa sababu na wao pia wanapata double gain.Yaani yeye akikukopesha ukimlipa kidogo kidogo pesa yake inakuwa na thamni zaidi kuliko akiiweka tu kwa miaka 20 aje akaitumie.

Hili ni somo pana sana ambalo linahitaji uwezo mkubwa sana wa kuelewa Maswala ya FEDHA.

Nakutakia tafakari njema.
 
Ungekua very wise kuficha ujinga wako, nini kinakusukuma kutumia Economical terms ambazo ni za kujionyesha unajua what your talking about wakati kiuhalisia hamna unachojua?
- WHo does international trade with CAP RATE?
Ujinga haufichiki mkuu... waswahili waliliamini hilo tangu zama.

Hakuna economical term hapo na wala mambo hayo hayajafungiwa kwenye Masanduku ili yajulikane na wachache. Na wewe unaweza kuyajua pia na kuachana na dhahania zako.

Post #106 imeelezea Vyema umuhimu wa thamani ya pesa kwa muda.
 
Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe International Airport.

Some of the unfavourable provisions in the loan agreement that Uganda signed with the Export-Import (Exim) Bank of China on March 31, 2015, if not amended, expose Uganda’s sovereign assets to attachments and take-over upon arbitration awards in Beijing.

Our investigations found out that any proceedings against Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) assets by the lender would not be protected by sovereign immunity since Uganda government, in the 2015 deal, waived the immunity on airport assets.

Highly-placed sources said the risk presented by the Financing Agreement on March 7, 2019, prompted Uganda to send an 11-member delegation to Beijing to plead with Exim Bank to renegotiate the clauses now impugned by Kampala.

Taarifa zaidi: Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
Yaani wewe unaandika kuhusu mada ambayo huna hata ule uelewa wa mwanzo tu. Miradi mikubwa kama ya marekebisho makubwa ya uwanja wa ndege huendana na mikopo. Magufuli kakopa sana tu kwenye miradi mingi. Kosa lakevni kukopa sana mabenki ya biashara, kama ilivyo kwenye hii ishu ya ya Entebe, badala ya kukopa CONCESSIONAL loans, mfanovtoka World Bank na ADB.vKwa hiyo nyie wapenzi wa Magu mnaamini Magu alianza kujenga SGR, Meli, madaraja makubwa, kwa keshi? Mnaota ndoto za mchana.
 
Alichozunguzia Prof. Assad ni kunua ndege kwa Cash. Ndenge ni Vitu vya kufanyia Biashara. Mashirika makubwa mengi ya Ndege duniani hawanunui ndege kwa Cash, bali wana lease na Faida wanayoipata ndio wanalipia deni la kulease. Pili hakuna Serikali hata moja Duniani ambayo inafanya biashara isipokuwa ni kukushanya kodi na kutoa huduma kwa wananch wake. ATC linajuilikana tokea kuanzishwa kwake kua halijawahi kuingiza faida.
 
Tuache upuuzi kila siku sisi wabongo tunanunua vitu kwa fedha taslimu , nenda kwa Mangi/mpemba/Mkinga/Mahindi n.k
Kwa hiyo wewe na Me a professor ni
Mkuu si lazima kukomenti nje ya upeo wako hili suala
 
Alichozunguzia Prof. Assad ni kunua ndege kwa Cash. Ndenge ni Vitu vya kufanyia Biashara. Mashirika makubwa mengi ya Ndege duniani hawanunui ndege kwa Cash, bali wana lease na Faida wanayoipata ndio wanalipia deni la kulease. Pili hakuna Serikali hata moja Duniani ambayo inafanya biashara isipokuwa ni kukushanya kodi na kutoa huduma kwa wananch wake. ATC linajuilikana tokea kuanzishwa kwake kua halijawahi kuingiza faida.

sasa kama unajua haupati faida unatoa wap ela ya kulipa deni? na zile interests juu utalipaje?
 
Yaani wewe unaandika kuhusu mada ambayo huna hata ule uelewa wa mwanzo tu. Miradi mikubwa kama ya marekebisho makubwa ya uwanja wa ndege huendana na mikopo. Magufuli kakopa sana tu kwenye miradi mingi. Kosa lakevni kukopa sana mabenki ya biashara, kama ilivyo kwenye hii ishu ya ya Entebe, badala ya kukopa CONCESSIONAL loans, mfanovtoka World Bank na ADB.vKwa hiyo nyie wapenzi wa Magu mnaamini Magu alianza kujenga SGR, Meli, madaraja makubwa, kwa keshi? Mnaota ndoto za mchana.

kukopa sio kosa, na pia kulipa cash sio kosa! tatizo linakuja pale anaetoa ushauri hana background yoyote ya biashara! Asaaad ni mwana siasa anatoa wap dharau za namna ile?
 
Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
AFRICA KUWA KOLONI JIPYA LA CHINA
 
Ujinga haufichiki mkuu... waswahili waliliamini hilo tangu zama.

Hakuna economical term hapo na wala mambo hayo hayajafungiwa kwenye Masanduku ili yajulikane na wachache. Na wewe unaweza kuyajua pia na kuachana na dhahania zako.

Post #106 imeelezea Vyema umuhimu wa thamani ya pesa kwa muda.

hahaha mbna ilo halina mjadala, si ndo maaana mpaka leo hakuna nchi imewahi kulipa deni lake na haiwezekani kulipa deni lote hata kidogo na nyie ndo mkaingiziwa uko uko na asaad, nchi pekee yenye uwezo wa kukopa na kulipa ni marekani peke yake na sio kwamba wanalipa kihalalai bali wana uwezo wa kuchapisha pesa mpya na kuzitumia kulipia, mengine yote ni zile zile kelele za prof asaad, ulimwengu mzima hauna uwezo wa kulipa deni lake lote! Uamue kuelewa usielewe hilo tatizo lako sasa
 
Back
Top Bottom