Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lumumba elimu ya kuiba mali za umma ndiyo kubwa eheekumwelewa kwa lipi na hana background ya biashara! ufipa najua mnamuelewa kwa sababu elimu yenu wote ya biashara imeishia kupangisha kwenye kile kibanda pale ufipa
Kupanga ni kuchagua.... kununua kwa taslimu ama kukopa yote ni MANUNUZI.Mpuuzi tu, kopa lipa polepole huku fedha taslimu unafanyia shughuli nyingine.
Hata Emirates,Qatar, wanakopa.
Magufuli alikuwa Kiazi.
Mara nyingi kwenye manunuzi ya ndege kununua cash huenda kunakuwa na gharama zaidi kuliko kwa sababu;Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Hamjawahi fanya biashara nyie mapimbiNinachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Unaongea kitu usichojua kwasababu wewe unashindana.na wewe ndo wale wale, mkopo wa mzungu huezi lipa pole pole kwa sababu wenyewe wanafidia mpaka inflation, unavolipa na ndo deni linaongezeka! 10,000 ya leo sio sawa na ya miaka mitano ijayo kwa sababu itakua imeshapungua thamani: ili kufidia hilo pengo linakuja neno riba, umekopa 100K lakini lazima ulipa 800K, yupi afadhali aliejibana akanunua kwa 100K cash ama alienunua kwa ushauri wa asaad saaahv anatakiwa kulipa 800K?
Wewe ndiyo una background ya biashara.kumwelewa kwa lipi na hana background ya biashara! ufipa najua mnamuelewa kwa sababu elimu yenu wote ya biashara imeishia kupangisha kwenye kile kibanda pale ufipa
NonsenseProfesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Sawa ni msomi mwenye vyeti lakini hana maarifa kabisa.
Wewe ndiyo una background ya biashara.
Wewe na elimu yako ya kukariri ndiyo unavimba na Asad.
Ndiyo maana mm Mjinga akishapevuka namwita tu jina analostahili,Mpumbavu!
Hivi haya unayoandika unahisi kwamba ni mbobezi Sana wa Mikopo, Inflation, fedha na uchumi na wengine hawajui kitu.
Na zaidi ukitaka kumwelewa Assad alikuwa anamaanisha nini nenda kasome SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA.
Haujatetea hoja yako dhidi ya hoja ya mleta uzi bali umeonyesha ukilaza wako zaidi...Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Kwani mleta uzi anaelewa hata anachokisema? Hoja alizopewa yeye kaona za kwake ni bora zaidi. Mengi yamebadilika sana kwenye majukwaa ya JF.Haujatetea hoja yako dhidi ya hoja ya mleta uzi bali umeonyesha ukilaza wako zaidi...
Unaweza kufafanua kidogo??Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Afadhali ya cash kuliko hizo term za mkopo,taifa linadhalilikaMpuuzi tu, kopa lipa polepole huku fedha taslimu unafanyia shughuli nyingine.
Hata Emirates,Qatar, wanakopa.
Magufuli alikuwa Kiazi.
elimu ni kweli,lakini sometime unatakiwa uchanganye na akili za kuzaliwa.Uwezo wako kielimu na maono ni mdogo sana kuelewa na kuchambua alichokisema Prof Assad
Alianza kulewa madaraka baada ya kutaka kuchunguza diko la wakuu ππππhahaha kikubwa alitolewa hio nafasi alishaanza kulewa madaraka
Taifa maskini hili wewe.Afadhali ya cash kuliko hizo term za mkopo,taifa linadhalilika
Wise men speak because they have something to say, fools because they have to say something.Hata mwehu hujiona mwenye akili nyingi,kumbe huna lolote we punguani waheed
Au labda biashara ikibuma haulipi deni[emoji16]Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Chadema twende na Assad 2025Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.