CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?


and what if you wont make profit maaana biashara kupata hasara kitu cha kawaida, zile interest utalipa na nn? hata hio ndege ukiamua kuiuza utauza kwa bei ndogo zaidi ya ulionunua, sasa nani apa anakula hasara?
 
Mimi sio mchumi ila mkopo una muda wa kulipa wala hauangali hizo fluctuation na hiccups, labda kama kuna retention fee. Tatizo hata sio ilo mi nakuambia kopa kulingana masharti fanya kitu kitakacho kuingizia pesa then rudisha hela ya watu alafu sepa.

ukikopa bank za kimataifa haukopi kibiashara ila unakopa currency yenyewe kama yenyewe! fikiria nyerere alikopa kiasi gan na ukija kulipa mwaka 2021 utalipa kiasi gan, deni la tanzania saaahv ni karibia $24B, Unadhan asilimia kubwa ya hili deni zilikopwa mwaka gan?
 
You cant be serious, are you?
 

actually the moral of the thread haikua kwamba kukopa ni jambo baya! ila kuna watu wameamua tu kuaminisha umma kwamba ukinunua kitu kwa cash umechanganyikiwa,

2) Kisa kikubwa cha kupenda china sio hata kulipa, mkopo wa china hauna masharti ya uangalizi, unapokopa world bank lazima utoe clear statement kwamba huu mkopo utaenda sehem flan na flan na utatumika kwa njia izi na zile, mpaka unaisha wanataka report!

3) mkopo wa world bank kamwe huwezi kuulipa kwa sababu ya interest ya kila mwaka + kufidia inflation pamoja na ukuaji wa $ kulinganisha na Tsh, unadaiwa 100K, mwaka ujao umelipa 20K lakini mwaka unaofuata hujalipa kabisa rartes na zile conditions zingine zote kunakua na additional 40K, now deni lako jumla ni 140K, hakuna rafiki wa kweli na afrika
 
Mkuu...wewe ni KIHIYO
 
Twende taratibu, unapokopa si wana kupa na masharti kwamba hela yetu iki depreciate au iki appreciate tuta fanya hivi na vile, kupanga ni kuchagua.

ukikopa haupewi ela, unapewa document inaitwa IOU, hizi IOU znabaki kwenye central bank na unaweza kuzitumia kufanya transaction ambazo ni digital tu! you will never have cash by using an IOU unless mtu ajitolee kununua deni la taifa unampa hio IOU alafu yeye anakupa hizo cash

- tatizo lake ni kwamba in future utalipa kidogo kidogo kama kodi kutoka kwa wananchi, mfano samia juzi alikopa mara mbili jumla karibia trillion 1 ya tanzania, hizi pesa ztalipwa na kizazi cha mbele kabisa uko sio sisi, lakini we fikiria ivi, umekopa tuseme $500M ambazo ni trillion moja, baada ya miaka 20 au 30, hio $500M ni pesa ingine tafauti kabisa, Tsh haiwezi kwenda above the USD kwa sababu usd ndo inaaaminika dunia nzima so haiwezi tokea sku tsh ikawa kama world currency maaana yake lazima ife against the Tsh, by factor of how much sijui but 20 years is enough to double tsh against usd, na zote lazima zilipwe jumlisha interest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…