Mbona marekani na usd zake bado deni lake kubwa ni ana bonds china? Una kopwa kwa sababu una kopesheka na una collaterals sasa mengine mi si mchumi
chuki ipi sasa? ni ukwel usiopingika hajui biashara, hana biashara na hajawahi kusomea biashara kwan namsingizia?Aliposema ni Mjinga pekee ndio huwa ananunua kwa Cash, mbona alieleweka, ninyi mna chuki fulani kwa huyu mzee, aliwaexpose kuhusu 'upigaji' wa 1.5 trilion ndio Gubu na Nongwa dhidi ya Professa mcha Mungu.
Mtweet atakujibu Assad sio member wa JFchuki ipi sasa? ni ukwel usiopingika hajui biashara, hana biashara na hajawahi kusomea biashara kwan namsingizia?
Karibu Chadema ndugu.Ufipa ni ufipa tu sku zote
Out of point 🚮🚮🚮mm nadhan pia tukope tujenge ofisi mpya pale ufipa maaana sisi ndo tunajua biashara tuachane na haya mambo ya kuchangaisha wananchi
Nikusaidie tu kwaajil ya cku nyingine... Ukiona mada inakua nzito kwako usiingize jamb ambalo lipo nje ya mada ni vzr hilo Jambo ukalianzishia thread yake ili tuchangie!!!mm nadhan pia tukope tujenge ofisi mpya pale ufipa maaana sisi ndo tunajua biashara tuachane na haya mambo ya kuchangaisha wananchi
Kwani ATC ina miaka mingapi tokea ianzishwe hata ikawa hawajui kuwa hio Biashara inafaida au la?Biashara gan hio baada ya utafiti unapata inalipa nataka kuifanya na mm, mdogo wangu watu wanafanya biashara kwa miaka 10 ndo faida inaanza kutoka amnaga biashara ya namna hio
Entebe ni hoaxyour right , kuna kitu kinaitwa DEPT CEILING, kabla hujafika level hii maaana yake bado unavumilika but thats not the point, someone decided to buy in cash and mwingine alikopa katika biashara hio hio moja, Entebbe imetokea kua mfano mzuri
When you're ignorant, nonesense makes perfect sense!Hata mwehu hujiona mwenye akili nyingi,kumbe huna lolote we punguani waheed
Hao watu wapo theoretically kuliko uhalisia shirika lilikuwa limeshaakufa sasa unawezaje kwenda kulikopea ili hali halijaimarika .kama sio kutengeneza mizgo mingine ya madaen kupitia malimbikizo y riba .sasa kama unajua haupati faida unatoa wap ela ya kulipa deni? na zile interests juu utalipaje?
Issue hapo ilikuwa kukopa kwa biahara iliyoimarika inayozalisha cash flow sasa hapo ni tofauto maana shirika lilikuwa ICU sasa unaanzaja kupata confidence ya kwennda kukopakukopa sio kosa, na pia kulipa cash sio kosa! tatizo linakuja pale anaetoa ushauri hana background yoyote ya biashara! Asaaad ni mwana siasa anatoa wap dharau za namna ile?
Watanzania heshimuni wasomi. Maneno ya Prof Assad huko nyuma yalisemwa na Prof Lipumba. Sasa tujiulize hivi ma- Prof hawa wawili wa uchumi hivi mimi na wewe mwenzangu wa mtaani tunaweza kujua zaidi yao.Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Hata mini simsikii akisema kuhusu samia .maana Wimbo ni ule ule sijui samia katoa pesa kiasi flan kama magufuli alivyokuwa akisemwaAlimsema Magufuli kununua ndege cash mbona simsikii akimsema Samia kwa kufanya kitu kile kile
Issue hapo ilikuwa kukopa kwa biahara iliyoimarika inayozalisha cash flow sasa hapo ni tofauto maana shirika lilikuwa ICU sasa unaanzaja kupata confidence ya kwennda kukopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania heshimuni wasomi. Maneno ya Prof Assad huko nyuma yalisemwa na Prof Lipumba. Sasa tujiulize hivi ma- Prof hawa wawili wa uchumi hivi mimi na wewe mwenzangu wa mtaani tunaweza kujua zaidi yao.
Mimi nilikopa na nilijenga nyumba mwaka 2016, leo hii nimebakiza 5 Milioni tu. Kama hiyo pesa ningeweka na kujenga leo kwa bei ya vifaa vya ujenzi ilivyopanda ningetumia mara 3 ya pesa ile. Kwa kweli najisikia mjanja! Siujui uchumi na bahatisha bahatisha tu na kuwasikiliza ma-prof na wachumi wengine.
Kwani ATC ina miaka mingapi tokea ianzishwe hata ikawa hawajui kuwa hio Biashara inafaida au la?