CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

Mbona marekani na usd zake bado deni lake kubwa ni ana bonds china? Una kopwa kwa sababu una kopesheka na una collaterals sasa mengine mi si mchumi

your right , kuna kitu kinaitwa DEPT CEILING, kabla hujafika level hii maaana yake bado unavumilika but thats not the point, someone decided to buy in cash and mwingine alikopa katika biashara hio hio moja, Entebbe imetokea kua mfano mzuri
 
Aliposema ni Mjinga pekee ndio huwa ananunua kwa Cash, mbona alieleweka, ninyi mna chuki fulani kwa huyu mzee, aliwaexpose kuhusu 'upigaji' wa 1.5 trilion ndio Gubu na Nongwa dhidi ya Professa mcha Mungu.
chuki ipi sasa? ni ukwel usiopingika hajui biashara, hana biashara na hajawahi kusomea biashara kwan namsingizia?
 
mm nadhan pia tukope tujenge ofisi mpya pale ufipa maaana sisi ndo tunajua biashara tuachane na haya mambo ya kuchangaisha wananchi
Nikusaidie tu kwaajil ya cku nyingine... Ukiona mada inakua nzito kwako usiingize jamb ambalo lipo nje ya mada ni vzr hilo Jambo ukalianzishia thread yake ili tuchangie!!!
 
Biashara gan hio baada ya utafiti unapata inalipa nataka kuifanya na mm, mdogo wangu watu wanafanya biashara kwa miaka 10 ndo faida inaanza kutoka amnaga biashara ya namna hio
Kwani ATC ina miaka mingapi tokea ianzishwe hata ikawa hawajui kuwa hio Biashara inafaida au la?
 
your right , kuna kitu kinaitwa DEPT CEILING, kabla hujafika level hii maaana yake bado unavumilika but thats not the point, someone decided to buy in cash and mwingine alikopa katika biashara hio hio moja, Entebbe imetokea kua mfano mzuri
Entebe ni hoax
 
sasa kama unajua haupati faida unatoa wap ela ya kulipa deni? na zile interests juu utalipaje?
Hao watu wapo theoretically kuliko uhalisia shirika lilikuwa limeshaakufa sasa unawezaje kwenda kulikopea ili hali halijaimarika .kama sio kutengeneza mizgo mingine ya madaen kupitia malimbikizo y riba .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kukopa sio kosa, na pia kulipa cash sio kosa! tatizo linakuja pale anaetoa ushauri hana background yoyote ya biashara! Asaaad ni mwana siasa anatoa wap dharau za namna ile?
Issue hapo ilikuwa kukopa kwa biahara iliyoimarika inayozalisha cash flow sasa hapo ni tofauto maana shirika lilikuwa ICU sasa unaanzaja kupata confidence ya kwennda kukopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Watanzania heshimuni wasomi. Maneno ya Prof Assad huko nyuma yalisemwa na Prof Lipumba. Sasa tujiulize hivi ma- Prof hawa wawili wa uchumi hivi mimi na wewe mwenzangu wa mtaani tunaweza kujua zaidi yao.

Mimi nilikopa na nilijenga nyumba mwaka 2016, leo hii nimebakiza 5 Milioni tu. Kama hiyo pesa ningeweka na kujenga leo kwa bei ya vifaa vya ujenzi ilivyopanda ningetumia mara 3 ya pesa ile. Kwa kweli najisikia mjanja! Siujui uchumi na bahatisha bahatisha tu na kuwasikiliza ma-prof na wachumi wengine.
 
umesema nani mchumi? prof asaad hajasomea uchumi wala hana background ya uchumi wala hajatoka kwenye familia inaojua lolote kuhusu biashara na juu ya hilo hajawahi ata kufanya biashara yoyote!

- Ukikopa maaana yake unatumia ela mbayo hauna, sasa kama hio hela hauna matumizi unatoa wap? wafanya biashara wanakopa kuendeleza biashara we unataka kukopa kuanzisha biashara, na ajab zaidi uyo mwana siasa asaad kawashika vichwa vizuri
 
Kwani ATC ina miaka mingapi tokea ianzishwe hata ikawa hawajui kuwa hio Biashara inafaida au la?

ATC ilikua dead na haikua inawekewa kipaumbele na serikali, Biashara ya ndege ni ngumu sana kupata faida na hata ukismamisha faida mara ya kwanza the next phase lazima iwe kilio, hamna shirika lolote afrika wana deni kwenye shirika la ndege, wengine wamuza kabisa kwa wafanya biashara waendeshe ni uku tu bongo ushauri unatoka kwa mtu mshamba , hana biashara hajawahi hata kufanya biashara anawapa ushauri watu wanaoshindwa kupambanua jambio
 
Nikusaidie tu kwaajil ya cku nyingine... Ukiona mada inakua nzito kwako usiingize jamb ambalo lipo nje ya mada ni vzr hilo Jambo ukalianzishia thread yake ili tuchangie!!!

kwan nmeenda nje ya mada? apo bado mada ni mkopo au sio?
 
Back
Top Bottom