CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

TUNACHANGANYWA MNO!!

Wanasiasa hasa wa upinzani na wanasheria tunaomba msaada kwani tuliambiwa ATCL imehamishiwa Ofisi ya Raisi na Ofisi ya Rais haikaguliwi na CAG.

Je upotevu huu umegundulikaje wakati Ofisi ya Mkulu CAG hatii pua?
 
Huna akili kabisa, ukishaziuza hizo ndege ukanunua dawa basi hizo dawa zitadumu milele au hazitanunuliwa tena au watu watapona hawataugua tena milele?

Acheni ujinga, kama unataka kusaidia nchi isonge tia mawazo ya maana na sio utoporo ambao ulishapitwa na wakati.
Kumbuka watu wanaongezeka na wanagunzi wanaongezeka na mgonjwa yanaongezeka.
Sasa utakua unanunua madawa na elimu tu mpaka lini?

Wewe kwako unanunua nyma unakula wakati watoto hawana elimu nzuri au hawasomi shule nzuri, je hilo huwa hulioni?
 
Mradi kama stendi ya mabasi pale Mbezi Luis umeghalimu Tsh Billion 50..!!!! Mpaka mradi ujiendeshe kwa faida tunaitaji miaka mingapi? Hapa watu wanaodili na biashara wanaweza kutushauri zaidi.
Stendi sio mradi ni huduma sawa na shule na hospitali.
 
Back
Top Bottom