CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Hasara ya ATCL,Ubadhirifu TPA Ubadhirifu miradi ya maji na mengineyo....
Tupe mda kidogo tuanue matanga
 
  • Thanks
Reactions: Dol
Kwa mtu wa kawaida tu angefahamu shirika la ndege ni hasara kwani midege haifanyi safari za nje kwa kuogopa kukamatwa kwa ajili ya nchi kudaiwa na makampuni yaliyodhulumiwa wakashinda kesi,sasa ndege kubwa kufanya safari masafa mafupi utegeme faida?.
 
Matanga Tuiachie familia yake..
Acha mama Ajenge Taifa.

Kila Jambo na wakati wake ashafukiwa..wacha mchwa wafaidi..
Tuna IMANI NA SSH
 
Unabisha nn ww? Umeambiwa hasara imetengenezwa kwa miaka 5 mfululizo. Mbona huwa mnapenda kusifia penye hamna?
Brother..!! Embu elewa mantiki yangi basi..!! Ni hivi tumejenga uwanja wa mpira kwa Tsh Bilion 100, je ndani ya miaka 5 utakuwa umerudisha uwekezaji na faida yake?
 
Utasikia ndege ni huduma,ndivyo maccm yatabadilisha wimbo wa sgr ya Umeme na mamiradi mengine ya kipuuzi

Maskini wa nchi hii wataendelea kupata shida sana na vile hawajielewi ni shida.
 
nawasubiri team kusifu na kuabudu waje kupinga report.
Watanzania walionyesha sura moja ya Shillingi na Muheshimia Albana Kazi .Lkn Ukweli muheshimiwa Albana Kazi shilingi ina sura 2 sasa watanzania wanaonyesha upande wa pili wanaanza kushangaa.ATCL wapeni emirates or fly dubai or Qatar hawa ndio air lines za uhakika .
 
Ukitaka kujua utawala wa Magu ulikuwa ni propaganda nyingi fuatilia ripoti zote toka kaingia utakuta kila sehemu ni hasara na upigaji ,matumiz mabaya ya pesa na mambo mengi kama hayo.

Ni vile nchi hii imejaa wananchi wajinga na maskini waliolowa kwa propaganda za maccm
 
Back
Top Bottom