Ndio maana tunashsuri mh.Rais asitishe kutekeza mamiradi ya Magu kwa pupa Ili pesa ifanye mambo muhimu ya uchumi wa watu.
Imagine mtu alikuwa anatenga 2/3 ya bajeti ya maendeleo kwenye mamiradi ya sgr,stiglaz sijui nn huko.
Mh.Rais hayo mamiradi yape pesa ndogo na peleka nguvu kubwa kwa kujenga barabara zote kuu na za mikoa,barabara za Tarura,maji, hospital na vituo vya afya,mashule,saidia biashara ndogondogo na matumiz bora ya ardhi yaani mipango miji,saidia kilimo kwenye Mazao ya kimkakati,waalike wawekezaji waje nchini,ongeza salary watumishi na piga marufuku serikali kufanya biashara
Mzunguko wa pesa ukirudi utakusanya kodi nyingi,vijana watataka kujiajiri badala ya kuwaza kuajiriwa na utakumbukwa kwa vizazi.Ila tuu usisahau kukaza uwajibikaji,rushwa na matumizi mazuri ya pesa za umma