Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Bwashee mbona humalizii na kibwagizo chakoYule mchaga Kakoko amesimamishwa kazi!
Watamuuzia nani mindege yenyewe safari mbili inaenda garageHaina maana yoyote kwa sasa kujua nani alikuwa anawasilisha hizo ripoti. Uzeni hayo mandege mpeleke maji ya bomba vijijini na muajiri madaktari.
I seeMarehemu alikuwa mpiga dili balaa
I see
Hhahahahahahahahahahaha.........Thubutuuu
Ni kweli na njia sahii ya kuondoa haya matatizo ni kuhakikisha wakurugenzi watendaji wa hizi taasisi/mashirika wasiteuliwe bali waombe kazi na wapewe target.Kuna Kenya airways, Ethiopia airways, Rwanda airways. Ili la kwetu ni uongozi mbovu na kukosa ubunifu!
Kesho kitarejea bwashee.Bwashee mbona humalizii na kibwagizo chako
"Maendeleo Haryana chama"
Stendi sio mradi ni huduma sawa na shule na hospitali.Mradi kama stendi ya mabasi pale Mbezi Luis umeghalimu Tsh Billion 50..!!!! Mpaka mradi ujiendeshe kwa faida tunaitaji miaka mingapi? Hapa watu wanaodili na biashara wanaweza kutushauri zaidi.
Na ndege hazikuhamishiwa kwingine?Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?