CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Your browser is not able to display this video.
 
Bado tunakopesheka sio mbaya sanaa, tatizo wizi wa hiyo pesa.
 
Mpaka ikifikia hiyo 2030, hali itakuwa ni tete kweli kweli!! Na kama tutakuwa hatujauzwa, basi tushukuru.

Na kukopa kote huku, bado utawasikia CHAWA wakibana pua kwa kusema "tunamshukuru sana Mama samia kwa kutoa bilioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa barabara", na bla bla nyingine!
 
Imekaa kisiasa sana
 

pamoja na kwamba Ndugai alikuwa wa hovyo kwa kuwa chawa wa Magu, Kwenye mikopo alisema kweli.
 
Wat..... ni Wapumbavu mnooooo
 
Mwaka huu watakopa zaidi ya 20 trln ili kuwezesha kapeni na kuiba hela za kustafia baada ya uchaguzi.
 
Hili deni hili, mbona linaogopesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…