ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Bado tunakopesheka sio mbaya sanaa, tatizo wizi wa hiyo pesa.
Tutaikumbuka Rasimu ya Katiba ya Warioba !Tutamkumbuka Ndugai
Usalama wa taifa kazi kuzuia watu wasipite njia ya Ikulu wapite baharini.Hivi usalama wa taifa hili deni hawaoni kama ni hatarishi kwa taifa hapo kesho ! Au wao leo yao bora haihusu kesho yenye changamoto kwa wanaotuandama?
Mungu atafanya miugiza kabla ya 2030 msiwe na hofu.Mpaka 2030 lazima itafika Trillioni 172 na ushehe
Utasikia kila siku, “hela ya Samia…”, “hela ya Samia…”, etc. Watu wa nchi hii hatuamki ng’o, mpaka Yesu arudi!Bado tunakopesheka sio mbaya sanaa, tatizo wizi wa hiyo pesa.
Singida BS wamekwapua ngapi?Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Mungu ibariki TanzaniaMungu atafanya miugiza kabla ya 2030 msiwe na hofu.
Litaingia bovu zaidi, mhimu kubadili mfumoMungu ibariki Tanzania
Duh 🙄 !Utasikia kila siku, “hela ya Samia…”, “hela ya Samia…”, etc. Watu wa nchi hii hatuamki ng’o, mpaka Yesu arudi!