ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Duh 🙄 !Hili siyo deni la serikali ni deni la Rais, pesa si za Rais na deni ni mali yake
Duh 🙄 !Hili siyo deni la serikali ni deni la Rais, pesa si za Rais na deni ni mali yake
Duh 🙄 !Nawaza tu, Do we still need the existence of this organ in Tanzania?
Am asking my self, what is the impact of these report to the lay man at Kazuramimba or is just a ceremonial report?
That is my question
Namshauri CAG afuatilie vizuri inawezekana hilo deni la taifa lipo kwa Singida Big Stars FC na Kadoo bureau de changeMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Katiba ingekuwa iko vizuri nani angeweza kumlazimisha ajitumbue ??!Ndio maana yule Mgogo alishtuka akasema Nchi itauzwa wakamfosi ajitumbue.
Mfumo uliopo umeozaLitaingia bovu zaidi, mhimu kubadili mfumo
Tunamshukuru Mama hata kwa hilo ongezeko la trion 15.1Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
mimi nilistuka siku nyingi hizi sifa anazopewa huyu mama watakuwa wanapiga hela wahuni
Siyo deni la rais,ni deni la mama Samia.Hili siyo deni la serikali ni deni la Rais, pesa si za Rais na deni ni mali yake
Unadhani wanajali basi, wao yao yanawaendea haiwahusu.Hivi usalama wa taifa hili deni hawaoni kama ni hatarishi kwa taifa hapo kesho ! Au wao leo yao bora haihusu kesho yenye changamoto kwa wanaotuandama?