CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Kila mwaka linaongezeka kwa zaidi ya 15 Trilioni kwenye awamu hii ya sita. Tungepata Ibrahim Traore angelomesha huu ujinga.

Na tungeona maendeleo kila siku.
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Napinga vibaya sana! serikali haina deni maana haijawahi kutoa hela kufanya lolote, Anayetoa hela ni Samia , ndio maana kila hela inayotoka kwenye mradi wowote inaitwa hela ya Samia, bila shaka huyo ndio anayedaiwa
 
Wakenya huko wanawaka kwa deni lao kufika trillion 10, ingekuwa kama yetu hapa si wangewasha Moto ikulu.
 
NOMA SANA.
Are you mad?
Mwendazake alianzisha hiyo miradi kwa nia nzuri, bila pesa ya kuendesha miradi mikubwa.
Jambo jema,lakini akakorofisha watoa pesa,kwa almost zero interest tena ya miaka hata 30
Kwa ujinga akajiunga na mikopo ya kausha damu ambayo inatutesa hadi leo.
 
Deni sio kubwa sana muhimu ni kujipanga na dynamics ktk major donors countries spending zao UK wanaongeza defence budgets kwa 40% na nchi za Europe zote zitafanya hivyo.

USA wanapunguza misaada kwa nchi nyingine na budgets za nchi nyingi za Africa zinategemea misaada yao.

Hii ni scenario italeta changamoto kubwa.
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Dr.Mwigulu Nchemba alisema hakuna mtanzania atakayekuja kugongewa geti kuwa anadaiwa deni la Taifa.
Aliongea hivo ni Mtaalamu wa Uchumi (Dr of Economics)
 
Napinga vibaya sana! serikali haina deni maana haijawahi kutoa hela kufanya lolote, Anayetoa hela ni Samia , ndio maana kila hela inayotoka kwenye mradi wowote inaitwa hela ya Samia, bila shaka huyo ndio anayedaiwa
Mama hana deni 😄

Ova
 
Hivi usalama wa taifa hili deni hawaoni kama ni hatarishi kwa taifa hapo kesho ! Au wao leo yao bora haihusu kesho yenye changamoto kwa wanaotuandama?
Usalama wa taifa ni hopeless kule yamejaa matoto ya makada tena yapo kwa ajili ya shoo of Tss bure kabisa
 
Unashangaa miradi inasimamaje kwa ukopaji huo?

SGR Lot 5 ilitakiwa ikamilike June 2024 (Mkataba),leo ni March 2025 tunaambiwa upo 63% ila uhalisia site ni chini ya hapo na shughuli ni kama zimesimama tu.
 
Shida inaanza Serikali inaweka bajeti kubwa wakati makusanyo ni kidogo, Bajeti ya 42 tril afu Makusanyo 26 tril maana yake lazima wakope tu
 
Back
Top Bottom