Samia, serikali yake wanakwambia kwamba deni ni him ilikuwa.
Dunia ikipata shocks kama ugonjwa mwingine wa Covid,massive terrorist attack , vita US na Iran, US na China au Israel na Iran, au mtikiso wa kiuchumi kutokana na vikwazo, tariffs za Trump, kupanda kwa bei ya mafuta, kushuka kwa thamana ya Tanzania shilingi hili deni litakuwa juu sana halivumiliki tena.
Ni vibaya kukopa hadi mwisho wa ukomo sababu siku zote kuna vitu vinaweza kutokea kuifanya nchi isiweze kuuza bidhaa zake nje, kupata watalii, thamani ya pesa yake kushuka, vita duniani.
Muhimu sana kuacha fiscal and monetary space to manoeuvre in case of any type of shock especiaĺly if you have got weak economy and currency.