CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

Trillion 97 sio mchezo, akipiga mitano tena itakuwa hatari
 
Sijaamini macho yangu niliposoma ukuaji wa kutisha wa deni la Serikali kufikia 97+ trillioni. Je ukiangalia huduma zinazotolewa na kiasi cha hicho deni zinaoana?. Kila shirika la Umma ni kupata hasara. Mfano TRC, ATCL, TANESCO na huku tuna watendaji mahiri katika Mashirika hayo. Tunamshauri Mhe. Rais afanye mabadiliko(overhaul) makubwa katika mMashirika yanayoleta hasara.

Nashauri tupunguze kukopa kila mara vinginevyo mikopo itatufikisha pabaya.
 
Hivi usalama wa taifa hili deni hawaoni kama ni hatarishi kwa taifa hapo kesho ! Au wao leo yao bora haihusu kesho yenye changamoto kwa wanaotuandama?
Usalama wa taifa kazi kuzuia watu wasipite njia ya Ikulu wapite baharini.
 
Muda kama huu mwakani tutakua tunaongelea tilioni 125.

Kauli ni zile zile "deni ni himilivu" hadi chura kiziwi amwage manyanga tutakuwa na deni la tilioni 300.
 
Hapa mwashambwa sijui atabubujikwa na machozi ya huzuni🥵🥵🥵
 
Singida BS wamekwapua ngapi?
 
Nawaza tu, Do we still need the existence of this organ in Tanzania?
Am asking my self, what is the impact of these report to the lay man at Kazuramimba or is just a ceremonial report?
That is my question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…