CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

Nawaza tu, Do we still need the existence of this organ in Tanzania?
Am asking my self, what is the impact of these report to the lay man at Kazuramimba or is just a ceremonial report?
That is my question
Duh πŸ™„ !
 
Ukisoma sentensi ya mwisho mkaguzi mkuu huwa ana malizia DENI HILI NI HIMILIVU,,, ila job kama job hawezi kuku kubal hata mim ndugai nasema hiviiii SI HIMILIVU na ipo siku kama nchi TUTAUZWA ha ha ha ha a a a a
 
Namshauri CAG afuatilie vizuri inawezekana hilo deni la taifa lipo kwa Singida Big Stars FC na Kadoo bureau de change
 
ili ni deni la CCM!

Wametawala tokea uhuru zaodi ya miaka 62 wameliongeza deni kutoka TSH 0 hadi TSH. Trioni 97.13 alafu kuna watu wanasema MITANO TENA!

Huu ni uchizi.

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Ndio maana yule Mgogo alishtuka akasema Nchi itauzwa wakamfosi ajitumbue.
Katiba ingekuwa iko vizuri nani angeweza kumlazimisha ajitumbue ??!
Supika wa Amerika awamu ya kwanza ya Trump aliichana chana Dokumenti yenye hotuba ya Trump aliyoitoa Bungeni siku hiyo mbele yake Trump jamaa akabaki anakodoa macho tu !

Strong Institution’s ni muhimu sana !
Balance of power !

Wao hudhani wanawakomoa wapinzani kumbe hata wao huwa sometime inawahenyesha kisawa sawa !

Kipindi cha Mwamba watu wakubwa walinywea hapa Nchini kimyaaaa. πŸ˜„πŸ˜… !
 
And what have we got to for it ?


Na is it necessarily kwa kukopa huku kulingana na tunachofanya ?


Na matumizi ya Dola na Fedha za Kigeni Je ?
 
Awamu hii watu wamechota pesa aisee, hii ni balaa aisee.
 
Kazi na utu mwanawane
Zaidi ya Billioni 400, yaani B au mimi ndio sioni, Pale Mwananyamala mama zetu wakanunue gloves, au nimelewa ndio maana sielewi, hapana ni ndoto tu.
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni, usije jinyonga wakurugenzi hao kesho wakawa promoted, ni mawazo yangu tu.
 

Attachments

  • 1.jpg
    101.2 KB · Views: 26
  • 2.jpg
    89.8 KB · Views: 27
  • 3.jpg
    96.8 KB · Views: 27
  • 4.jpg
    88.9 KB · Views: 28
Tunamshukuru Mama hata kwa hilo ongezeko la trion 15.1
 
mimi nilistuka siku nyingi hizi sifa anazopewa huyu mama watakuwa wanapiga hela wahuni
 
Yani mahela kibao yanatumika hovyo ni hasara hasaraaa
 
Hivi usalama wa taifa hili deni hawaoni kama ni hatarishi kwa taifa hapo kesho ! Au wao leo yao bora haihusu kesho yenye changamoto kwa wanaotuandama?
Unadhani wanajali basi, wao yao yanawaendea haiwahusu.

UZALENDO nchi hii upo monchwari.
 
Hela zote hizo zimekopwa lakini hakuna la maana hata moja.
 
Ngoja tuendelee kusubiri hizo mpox zinazoletwa na chadema haya mengine ya chura kiziwi na CAG yanaudhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…