Kwa ufupi SGR haikutakiwa vuka Dodoma ilitakiwa Dodoma ndo iwe mwisho. Pride ndo imetufikisha hapaUnashangaa miradi inasimamaje kwa ukopaji huo?
SGR Lot 5 ilitakiwa ikamilike June 2024 (Mkataba),leo ni March 2025 tunaambiwa upo 63% ila uhalisia site ni chini ya hapo na shughuli ni kama zimesimama tu.
Unaijua trilioni 15 Hadi useme wanajengea watoto wao!?..sgr,bwawa,brt,vyumba vya madarasa, hospital,barabara,hela zinatoka wapi?Mbaya zaidi fedha hizo wanajengea watoto wao nje ya nchi ili siku ukiwaka moto hapa wawe na pa kukimbilia
Tukiishi ndani ya makusanyo hatusogei popote,hapatakua na sgr Wala irrigation schemesShida inaanza Serikali inaweka bajeti kubwa wakati makusanyo ni kidogo, Bajeti ya 42 tril afu Makusanyo 26 tril maana yake lazima wakope tu
Hatari sanaMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la asilimia 18.36.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Kuna whistle blower alijitokeza humu ulimsikia?Unaijua trilioni 15 Hadi useme wanajengea watoto wao!?..sgr,bwawa,brt,vyumba vya madarasa, hospital,barabara,hela zinatoka wapi?
Whistle blower au wajinga wajinga wasio na uelewa wa mamboKuna whistle blower alijitokeza humu ulimsikia?
Kazi kwakoWhistle blower au wajinga wajinga wasio na uelewa wa mambo
Tutaomba warejeshwe ili tuwapandishe vizimbani.Mbaya zaidi fedha hizo wanajengea watoto wao nje ya nchi ili siku ukiwaka moto hapa wawe na pa kukimbilia
NCHI inaitaji uponyaji WA haraka SanaWat..... ni Wapumbavu mnooooo
Million 7 Kwa pesa za saidi saidi .million Mia 7kwa pesa za serikali kila bangoUle mradi wa Samia mabango nchi nzima ndio umekula pesa kiasi cha trillions?
Maana hiyo kasi ya kukopa huku akitundika mabango nchi nzima kila mtaa inafikikisha sana.
Sijui nani ambao hamjui sura yake.
Watalamu wa mabango, ni bei gani bango Moja?
Sahihi kabisaSiyo deni la rais,ni deni la mama Samia.