CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Mama na Kikwete hawatofanya chochote hapa.....watakuwa wanacheka tu huku wakinywa kahawa.
 
Kwa jinsi serikali ilivyoonyesha ina mtamani Mbowe mpaka kumpa kesi ya kubumba, Unafikiri hizi tuhuma zingekuwa za kweli saizi angekuwa uraiani?

Nyie masalia ya mwendazake naona aliendazake na akili zenu!.
Akili za nyumbu huwa zinasahau kirahisi sana. Mbowe hakukamatwa na kufunguliwa kesi kipindi cha JPM.
Mnapenda kudandia ugomvi wa wana CCM kwa kuchukua upande bila kushughulika na ustawi wa chama chenu na pia mnashughulishwa na chuki mliyonayo dhidi ya marehemu JPM
Sishangai ndo mana mnashindwa kirahisi kwenye chaguzi
 
Hapana hakuna Sheria iliyokua imetungwa kuwa hizo pesa ziende wapi. Nadhani huo mwanya alioacha JPM ndio ulihalalisha watu kujimilikisha hizo pesa.

Afu utasikia eti ufisadi uliisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii issue ni rahisi sana. Lolote lililofanyika wakati wa uongozi wa Magufuli, aliyeondoka ni yeye tu, wengine wapo, kwa nini hawaulizwi? Aliyekuwa waziri wa fedha yupo, aliyekuwa makamo wa rais yupo, aliyekuwa DPP yupo, Aliyekuwa waziri mkuu yupo, mawaziri wote wa serikali ile wapo. Si muwaulize tu. Acheni blah blah.
Ripoti ya CAG ni audit queries ambayo ikishafika bungeni inatakiwa kujadiliwa na Serikali hii iliyopo ijibu hizo queries. Au mnataka Serikali ile ijibu? Hilo pia linawezwkana maana wote wapo isipokuwa JPM tu. Rudia kusoma.kama hujaelewa siyo unaleta povu
 
Waliohusika kwenye Serikali ya JPM wote wapo, so haihitaji elimu kubwa kubaini kwamba ndo hawa hawa wa serikali hii iliyopo ndo wanatakiwa waulizwe.
 
Audit querry? Wakati walikua na zaidi ya mwezi mzima kupeleka majibu kwa CAG!!

Alafu kama haujui, amendment ya Sheria ya ukaguzi inasema majibu ya serikali yanatakiwa kutolewa same time CAG report inatoka yaani Maswali na majibu yanakua sambamba Ili kurahisisha analysis na decision making.

Kingine..... Kinana ametoa order waliohusika na ufisadi washughulikiwe. Kwa hiyo kama tu Sabaya alivyoshughulikiwa kwa ufisadi mkubwa ambao alidai alitumwa na JPM & Mpango, ndio moto huo huo utatumika kwa mafisadi wote ambao Bado wapo kama kina Dotto James, Biswalo n.k

So mtulie tu, wakipewa kesi za uhujumu uchumi msije kulialia kuwa wanaonewa kisa ni awamu ya 5
 
Kipindi Cha JPM Mbowe alikaa ndani miezi zaidi ya 6 na Matiko tena bila kesi ya kueleweka.

Baadae akapewa kesi ingine ya ufisadi na TAKUKURU ambayo walikosa ushahidi wakapotezea.

Baadae akahukumiwa kesi ya Akwilina ambayo kwenye rufaa imegundulika walichukuliwa kimakosa na pesa Yao ikarudishwa!!

Hayo yote alifanyiwa na JPM!!!

Kingine chuki kwa JPM ya nini? Sisi tulishamalizana naye siku amezikwa ndio maana hoja yetu ni katiba mpya tu kuelekea 2025.

Yeye alipambana na CHADEMA akidhani itakufa, ghafla akafa yeye na CHADEMA kimezaliwa upyaa. So liwe fundisho kwamba fanya kazi Yako uliyopewa kuingilia majukumu yasiyokuhusu unajiongezea maadui wasio na lazma
 
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
 
Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
 
Itoshe tu kusema wanaoteswa na jina la Magufuli ni wapumbavu wakubwa
Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
 
Haipo tena Serikali Tanzania itakayokuja kuibiwa fedha kama Serikali ya JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…