Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Slaa ni CAG?Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slaa ni CAG?Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Hata wewe unaweza kujadili piaSlaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Wakamatwe au ndiyo wanapewa promotion kila kukicha?Tumuache apumzike, hapa ni wale waliohusika kama DPP kukamwatwa mara moja na waeleze pesa zile ziko wapi na wote waliohusika. Pesa zile zirudishwe kwa wenyewe kama hawakuwa na makosa na hawa washatakiwe kwa mujibu wa sheria na wahukumiwe. Marehemu kishaondoka haisaidii kumtaja ni hawa waliopo bado wajibu pesa ziko wapi na je halali pesa zile au walidhulumiwa watu? hii italeta confidence kwa biashara nchi hii, utawala wa sheria
Haya mambo yanahitaji kubadilika na lazima yaanze sasa nasikitishwa na bunge ambalo ndio wajibu kuhoji kila kitu wao busy kula futari za bure. shida kubwa nchi hii hatuna DPP huru mwenye uwezo wa kumshtaki yoyote akiwa amefanya makosa na kumpeleka mahakamani, CAG report ni ushahidi tosha lakini hakuna la kufanyika sababu DPP yuko kisiasa anasubiri apewe maelekezo kisiasa tu hakuna weledi. nchi zingine hawa waliotajwa leo wangekuwa mahakamani. Israel wana best system jana waziri mkuu wao katajwa tu anatumia dola alfu 26 kwa matumizi yake ya nyumbani na bado kisheria kapigwa maneno mwenyewe kasema basi chakula najilipia mwenyewe. Huku miaka nenda mkurugenzi kaiba sijui nani kaiba nyimbo zinaimbwa mpaka tunasahau. ukisikia wanaunda tume tu juwa tumeibiwa ni tech ya kupotezea jambo kama yale mauwaji ya Mtwara siku 14 imekuwa miezi 14 hakuna wa kumuuliza hata waziri mkuu bungeni wewe ulisema hili mbona kimyaa kama PM unapoteza kuaminiwa kwako tena alitakiwa kujiuzuru leo hii.Wakamatwe au ndiyo wanapewa promotion kila kukicha?
NdiyeMkuu niulize tu Mganga ni yule DPP Mganga Biswalo?
Lo Mungu wangu!Ndiye
CAG hawezi kuwa hayuko sahihi; yuko sahihi kabisa kwa 100% isipokuwa ninachoamini mimi ni kwamba pesa hizo zilikuwa zinapigwa JPM akiwa hajui. Haipo tena Serikali Tanzania itakayokuja kuibiwa fedha kama Serikali ya JPM. Niweke hata mimi kwenye nafasi ya Urais wa JMT, siwezi kuibiwa kama alivyokuwa anaibiwa Hayati JPMEither mnasoma vibaya hiyo ripoti na kupotosha, au CAG wetu ni kiazi.
Huku ni shamba la bibi wewe chuma mambo yaendeHaya mambo yanahitaji kubadilika na lazima yaanze sasa nasikitishwa na bunge ambalo ndio wajibu kuhoji kila kitu wao busy kula futari za bure. shida kubwa nchi hii hatuna DPP huru mwenye uwezo wa kumshtaki yoyote akiwa amefanya makosa na kumpeleka mahakamani, CAG report ni ushahidi tosha lakini hakuna la kufanyika sababu DPP yuko kisiasa anasubiri apewe maelekezo kisiasa tu hakuna weledi. nchi zingine hawa waliotajwa leo wangekuwa mahakamani. Israel wana best system jana waziri mkuu wao katajwa tu anatumia dola alfu 26 kwa matumizi yake ya nyumbani na bado kisheria kapigwa maneno mwenyewe kasema basi chakula najilipia mwenyewe. Huku miaka nenda mkurugenzi kaiba sijui nani kaiba nyimbo zinaimbwa mpaka tunasahau. ukisikia wanaunda tume tu juwa tumeibiwa ni tech ya kupotezea jambo kama yale mauwaji ya Mtwara siku 14 imekuwa miezi 14 hakuna wa kumuuliza hata waziri mkuu bungeni wewe ulisema hili mbona kimyaa kama PM unapoteza kuaminiwa kwako tena alitakiwa kujiuzuru leo hii.
Hukunielewa tu tu nilikuwa naongea kinyume kakaKama Mwanamlya una doubt ripoti ya CAG Kicheere, na kura za uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 kuwa hazikuibiwa na Magufuli basi jihesabu wewe ni MPUMBAVU.
Hamna nna tunaweza kukusaidia hata kama utavunjwa vunjwa uwe mchanga halafu uumbwe upya.
Sijasikia serikali kusema lolote juu ya kadhia hii.Sio kurudisha tu wahukumiwe kwa mujibu wa sheria kurudisha tu haitoshi maana hata mwizi wa kuku jela atolewe akanunue kuku arudishe. sheria msumeno. Siku hawa wakishtakiwa wote waliotajwa na kuhukumiwa na kutaifishwa pesa zote zirudi ndio adabu zitakuwepo. awe mkuregenzi, awe katibu yoyote yule kala pesa mahakama ya mafisadi ahukumiwe ndio tutakuwa na adabu.
Vyombo vyetu vinajua hili lilitokea na Magufuli alihusika.Kuna mtu toka idara za juu za vyombo vya usalama, marehemu akiwa hai, alinidokezea kwa kusema, "kinachoendelea sasa ni uharamia wa hali ya juu. Unajua kuwa hizo pesa zinazochukuliwa kwa watu wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, haziingizwi kwenye account yoyote ya Serikali wala mahakama, na hawataki ulipe kwa cheque wala bank transfer, kwa sababu hawataki ushahidi. Mganga ghafla amekuwa bik 23rdionea kwa kufanya kazi ya kumkusanyia pesa mzee maana amepewa mamlaka ya kukupunguzia malipo kama utakubali aandike pungufu. Unaambiwa unatakiwa kulipa bilioni 3. Unabembeleza sana, Mganga anasema utatoa bilioni moja na nusu. Weka sahihi hapa. Kwenye karatasi imeandikwa bilioni moja. Hapo Mganga amepata milioni mia tano, mzee bilioni moja, lakini Mganga tena atalipwa na Mzee wakati atakapompelekea. Kuna wizi, wizi mkubwa sana unafanyika"
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
Siku zaja ukweli utawekwa wazi, na hasira za watu zitawaka dhidi ya washirika wa marehemu katika uovu.
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA
Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
View attachment 2202712
Milembe…..!Una mkamati mtu kwa wizi halafu unamwambia ukitoa pesa unaweza kutoka halafu unakula ile pesa.... lakini wewe sio mwizi!! TZ ...
Na akili zako timamu unadhani mamlaka za serikali zingekaa kimya?Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Upuuzi mtupu.Wa
Legacy its punguani magufuli inayeyuka kama jiwe la Chumvi.
Tuliwambia lile lilikuwa jizi tu ndo mana hadi liliwahonga kina kabula nyumba na hoteli.
Haya sasa kiko wapi???
Mzigo ulikuwa unaingia kwa kina felesh huku inzi wa kijani hapo lumumba wakikata mauno kama hadija kopa achezavyo taarabu
Upuuzi mtupu.Haissidii ku kataa ukweli.
Jibuni ni vipi Rais akawa na streaks na viashiria vya ulaghai na ujambazi kama wa Sabaya.
Upuuzi mtupu.Mtu kuiba Tshs 1.5 Trilioni na wewe umefaidika, PCCB inakuhusu.
Kuchafuana kivipi? Hujui kusoma?Hizo hela zilifichwa wapi usije ukawa ni kuchafuana