CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Kuwa insane ni Kutoa ripoti vidole vyote vikimuelekea MAREHEMU. Waziri wa fedha Yu hai, watumishi wa fuko kuu walotia Saini wote wapo, kwanini WASIWAJIBISHWE hao?
Kwani nani kamtaja marehemu? Mbona Kinana kasema waliohusika wakamatwe kama ingekua ni JPM si asingetoa hiyo order kwa serikali!!

Kila mtu anashughulikiwa kivyake hakuna mahali ripoti imetaja JPM kahusika so muache kujishtukia.

Kama alivyoshughulikiwa Sabaya, mmoja mmoja mtadakwa tu maana mlifanya Tanzania kuwa Mali yenu binafsi.
 
Sawa kabisa mkuu.
Wengine walikuwa wakipora na kusingizia ati "mamlaka za juu" zimewaagiza.
Kama Sabaya , ukweli ujulikane.
 
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.

Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:

  • Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
  • Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
  • Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
  • Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!

Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!

View attachment 2202262

Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!

MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA

Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
View attachment 2202712
walaji ni watu kutoka familia moja ya rangi moja.
 
Kwa jinsi serikali ilivyoonyesha ina mtamani Mbowe mpaka kumpa kesi ya kubumba, Unafikiri hizi tuhuma zingekuwa za kweli saizi angekuwa uraiani?

Nyie masalia ya mwendazake naona aliendazake na akili zenu!.
Na mbowe alivyomuuwa karibu wake, isitoshe akaona tundulisu anataka kugombea uwenyekiti akaamua kumtoa roho na malisasi lakini akachemka, tundulisu mwenyewe anajua kwamba mbaya wake ni mbowe, ipo siku litakaa wazi
 
Lililopo ni kujadili mada husika.
Ya Mbowe na Lissu anzisha mada yako ambayo wengine haituhusu.
 
S
Nikuulize tu swali la akili!
Kwa akili yako hayo maouvu huyo marehemu alipokuwa akiyafanya , yeye hakujua?
Swali Hilo sio la Akili Kwa sababu ajue au asijue hamna mwenye mamlaka kumuhoji, watia sahihi kwenye kila uchafu na wizi huo wote wapo ndo wajibu. AFYA ya AKILI Yako itazidi dumaa kama itazidi muongelea asiekuwepo. Waliopo wawajibishwe Au CHAMA kilichotuletea jiwe KIWAJIBISHWE.
 
Jibu swali nililokuuliza, kebwabwaja hakutakusaidia sana.
Fedha inapigwa na wewe upo tu!
 
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.

Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:

  • Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
  • Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
  • Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
  • Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!

Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!

View attachment 2202262

Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!

MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA

Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
View attachment 2202712
Hii ni laana ya mwafrika inaitwa dhuluma.
 
Kuna mtu toka idara za juu za vyombo vya usalama, marehemu akiwa hai, alinidokezea kwa kusema, "kinachoendelea sasa ni uharamia wa hali ya juu. Unajua kuwa hizo pesa zinazochukuliwa kwa watu wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, haziingizwi kwenye account yoyote ya Serikali wala mahakama, na hawataki ulipe kwa cheque wala bank transfer, kwa sababu hawataki ushahidi. Mganga ghafla amekuwa bik 23rdionea kwa kufanya kazi ya kumkusanyia pesa mzee maana amepewa mamlaka ya kukupunguzia malipo kama utakubali aandike pungufu. Unaambiwa unatakiwa kulipa bilioni 3. Unabembeleza sana, Mganga anasema utatoa bilioni moja na nusu. Weka sahihi hapa. Kwenye karatasi imeandikwa bilioni moja. Hapo Mganga amepata milioni mia tano, mzee bilioni moja, lakini Mganga tena atalipwa na Mzee wakati atakapompelekea. Kuna wizi, wizi mkubwa sana unafanyika"

Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.

Siku zaja ukweli utawekwa wazi, na hasira za watu zitawaka dhidi ya washirika wa marehemu katika uovu.
 
Afadhali umethibitisha kinachoongelewa na hata wana usalama ambao roho wa Mungu uliwalazimisha kuchukia tabia zisizofaa Awamu ya Tano.
 
Bomu umdondoshee marehemu ni AKILI Kweli hiyo. Ameondoka mmoja WASAIDIZI wake wote wapo Badala ya kuwauliza WAWAJIBISHWE mnakalia siasa. Nasubiria KIFO Cha KINYONGA wa KIJANI na MANJANO Kwa hamu kubwa.
Baada ya kuchanja 2021 hivyo corona 2023!!?au Sio!!nimekuelewa mkuu nasubiria!!
 
Back
Top Bottom