CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Hapana hii taarifa inaweza kuwa ya uongo maana pesa za plea bargain zilikuwa zinawekwa kwenye account maalum na mwaka jana CAG alisema hakuna sheria ya kuzitumia ziko bank tuu! Hii habari ya kutafunwa ni uongo!
CAG huwa haongopi.
Aongope kwa ajili ya nini?
Mliopania kutetea uchafu wa mwendazake si ajabu mko complicit of the crime.
 
Mkuu usitetee wizi.
Flyover zote zimejengwa kwa misaada toka nje.
Tunasubiri CAG adondoshe bomu la ununuzi wa ndege.
Bomu umdondoshee marehemu ni AKILI Kweli hiyo. Ameondoka mmoja WASAIDIZI wake wote wapo Badala ya kuwauliza WAWAJIBISHWE mnakalia siasa. Nasubiria KIFO Cha KINYONGA wa KIJANI na MANJANO Kwa hamu kubwa.
 
Acha utani pesa za Miradi nyingi ni mikopo na Mama Samia mpaka Leo analipa madeni. Huwezi uka generalize eti pesa zimejenga flyover wakati ni mabilion yameliwa!!

Hizo ndege unazosifia hapa si umesikia zimetia serikali hasara ya mabilioni!! How comes ziwe pride kiasi kwamba tukiona ufisadi ukimbilie eti "ndege zimenunuliwa"

Are you insane?
Kuwa insane ni Kutoa ripoti vidole vyote vikimuelekea MAREHEMU. Waziri wa fedha Yu hai, watumishi wa fuko kuu walotia Saini wote wapo, kwanini WASIWAJIBISHWE hao?
 
Bomu umdondoshee marehemu ni AKILI Kweli hiyo. Ameondoka mmoja WASAIDIZI wake wote wapo Badala ya kuwauliza WAWAJIBISHWE mnakalia siasa. Nasubiria KIFO Cha KINYONGA wa KIJANI na MANJANO Kwa hamu kubwa.
Hata marehemu Hitler alidondoshewa mabomu ya kutosha tu baada ya kujiua kukwepa kukamatwa.
Mtu akifa maovu yake hayafi naye.
Sasa maovu yanaanza kuonekana kiuhalisia, na tunaona jinsi tulivyopigwa kisawas sawa na "Rais wa wanyonge."
 
Bomu umdondoshee marehemu ni AKILI Kweli hiyo. Ameondoka mmoja WASAIDIZI wake wote wapo Badala ya kuwauliza WAWAJIBISHWE mnakalia siasa. Nasubiria KIFO Cha KINYONGA wa KIJANI na MANJANO Kwa hamu kubwa.
Nikuulize tu swali la akili!
Kwa akili yako hayo maouvu huyo marehemu alipokuwa akiyafanya , yeye hakujua?
 
CAG huwa haongopi.
Aongope kwa ajili ya nini?
Mliopania kutetea uchafu wa mwendazake si ajabu mko complicit of the crime.

Ninachosema unatakiwa uelewe CAG hajasema hichi kilicho andikwa kama unajua kuna ukurasa kasema haya ulete! Mtoa mada ni muongo!
 
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.

Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:

  • Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
  • Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
  • Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
  • Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!

Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!

View attachment 2202262

Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!

MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA

Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
View attachment 2202712
Mbwa mwongo mwenye mkia mrefu aina barbaig sherpherd aka Slaa! elezea hapa!
Magufuli atakuwa shetani na slaa ni mfuasi wa shetani
 
Sasa kama ziliingia mifukoni mwa watu Je hao watu walio ingiziwa izo pesa Je nao hawajulikani ?
 
Back
Top Bottom