Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Mkuu umewagonga watu za uso kwa kweli. Hawatakujibu.Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umewagonga watu za uso kwa kweli. Hawatakujibu.Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Hiyo attachment mbona haipo? Hii siyo propaganda chafu hii [emoji53]Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Na wakishakufa tena wafe tena na tena, yani maisha yao yawe ni kifo kila wakifa, kufa meko kufa!!!!Kuna watu hata wakifa unatamani wafe tena kwa uovu walio watendea Binadamu wenzao.
This is a sin and crime. Hawa jamaa hawa.......Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Uko huru kuifungulia uzi hiyo mada, nini kinakuzuia?Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Msikilize Kinana post no. 1Hakuna ukweli hamuwezi kumchafua mtu milele
Mkuu usitetee wizi.Hizo PESA m
Hizo PESA ndo Zimejenga izo Flyover mnazopita, zmenunua ndege nk. Tofauti ni kuwa hazikupita mfumo rasmi. Yaani MTOTO unamwona halafu unasema MZAZI alikuwa MGUMBA!!!!!!! Tuambieni mlichofanya Hadi sasa ninyi.
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA
Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
View attachment 2202712
Hapana hakuna Sheria iliyokua imetungwa kuwa hizo pesa ziende wapi. Nadhani huo mwanya alioacha JPM ndio ulihalalisha watu kujimilikisha hizo pesa.
Afu utasikia eti ufisadi uliisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dikteta uchwara alikuwa shetani katika maumbile ya binadamu,waendelee kuchochea moto huko jehanam aliko
Mkuu Tshs 1.5 Trilioni ilivyokwapuliwa CAG akaisemea, akakatwa panga.Yaan Chinembe nilishakwambia kuwa elimu yako ni ya form four na ukiwa umesoma Sana Basi una degree ya kuunga unga.Yaan unatumiwa Sana kuandika humu lakin upo shalowa Sana.Nitakupa somo kidogo.Unapoongelea masuala ya serikali ,unaongelea team work.Kuna Rais,Wazir mkuu,mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya.Wakurugenzi na nk.Sasa kwa Sasa suala linalotengenezwa na wahuni wachache ,wanataka kuwafanya watanzania kuwa hawana uelewa wowote.Kumbe wao ndio sisi tunawaona Kama mazombi tu.Nitaongea issue mbili.Kwanza issue ya kusema serikali iliyopita iliiba pesa.Basi wote waliokuwemo watakuwa wameiba.Pili.Unaposema GAG ,ametoa report.Ni suala la interpretation tu.Report inakuwepo lakin je physical verification zimefanyika kuhusu hizo document?Zitto Kabwe ni mburura.Hajui kitu.Amesoma economic.Sisi wataalamu wa uhasibu ,tunajua kuwa ni mpumbavu tu.Halafu kwa Sasa ategemee maadui wengi.
Hiyo taarifa imo kwenye ripoti ya CAG kweli? Napitia ripoti sijaona hiyo taarifa. Nakumbuka kumsikia CAG akisema anaanzisha ukaguzi siku anakabidhi ripoti kwa Mh Rais. Kwa hiyo amemaliza ukaguzi na kutoa taarifa akionyesha kwamba pesa haIkuingia serikalini? Au mnapotosha tu taarifa?
Ulitaka asifu tu ndo ujue siyo kiazi?Either mnasoma vibaya hiyo ripoti na kupotosha, au CAG wetu ni kiazi.
Sasa ndio unaambiwa zimetafunwa na wahuni wachache.... Kumbuka zilikua zinalipwa in cash bila kutumia control number Wala nini. Sasa control yake unadhani ni nyepesi?Hapana hii taarifa inaweza kuwa ya uongo maana pesa za plea bargain zilikuwa zinawekwa kwenye account maalum na mwaka jana CAG alisema hakuna sheria ya kuzitumia ziko bank tuu! Hii habari ya kutafunwa ni uongo!
Weka kink ya habari hizo.Kuna harufu ya uongo hapa maana mwaka jana tuliambiwa pesa za plea bergain ziko benki kuu na hakuna sheria ya kuzitumia na ziko mabillion
Nadhani anasoma vibaya! Siamini kama CAG ameishamaliza ukaguzi na kutoa taarifa. Uzoefu wangu unaonyesha CAG hutoa taarifa yake mara moja na huwa haongei na waandishi wa habari tena hadi wakati wa ripoti nyingine. Huenda mleta uzi kanukuu vibaya.
I apeleke ushaidi polisi. Au polisi wamkamate wamuhoji na wahusika wakamatwe.Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Sasa ndio unaambiwa zimetafunwa na wahuni wachache.... Kumbuka zilikua zinalipwa in cash bila kutumia control number Wala nini. Sasa control yake unadhani ni nyepesi?
Nyumba imechukuliwa ila Kodi inaenda kwa mtu binafsi yote ni sababu Kuna gap ya kisheria inayotoa mwanya kwa ufisadi.
So hapa hakuna uongo unless hujasoma audit report
Kuna mjinga mmoja alijimilikisha mjengo wa wasafi media hadi na kodi anachukua.Ilikuwa wazi zile fedha zisingeweza kuingia serikalini.
Kundi la wezi na majambazi.
Mbona unakasirika wewe kamanda uchwara?Pablo Elchapo ******** aka baki namavi yako kama hukujuwa Jiwe alikuwa Jizi ,katili shenzi shetani