Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Itoshe tu kusema wanaoteswa na jina la Magufuli ni wapumbavu wakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulitakiwa uwe umezikwa Chato, kulingana na Zito.Itoshe tu kusema wanaoteswa na jina la Magufuli ni wapumbavu wakubwa
Wapumbavu zaidi ni nyie warundi, mlioingia nchini kwa hisani ya umoja wa mataifa.Itoshe tu kusema wanaoteswa na jina la Magufuli ni wapumbavu wakubwa
Mkuu this is serious.Kuna mtu toka idara za juu za vyombo vya usalama, marehemu akiwa hai, alinidokezea kwa kusema, "kinachoendelea sasa ni uharamia wa hali ya juu. Unajua kuwa hizo pesa zinazochukuliwa kwa watu wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, haziingizwi kwenye account yoyote ya Serikali wala mahakama, na hawataki ulipe kwa cheque wala bank transfer, kwa sababu hawataki ushahidi. Mganga ghafla amekuwa bik 23rdionea kwa kufanya kazi ya kumkusanyia pesa mzee maana amepewa mamlaka ya kukupunguzia malipo kama utakubali aandike pungufu. Unaambiwa unatakiwa kulipa bilioni 3. Unabembeleza sana, Mganga anasema utatoa bilioni moja na nusu. Weka sahihi hapa. Kwenye karatasi imeandikwa bilioni moja. Hapo Mganga amepata milioni mia tano, mzee bilioni moja, lakini Mganga tena atalipwa na Mzee wakati atakapompelekea. Kuna wizi, wizi mkubwa sana unafanyika"
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
Siku zaja ukweli utawekwa wazi, na hasira za watu zitawaka dhidi ya washirika wa marehemu katika uovu.
Kila mmoja aliogopa. Na hapo ndipo unapoona ile hoja ya Madaraka ya Rais ni makubwa mno, kiasi cha kutisha hata vyombo vya usalama.Mkuu this is serious.
Yaani vyombo vyetu vya usalama VILIJUA MAGUFULI anahujumu nchi .
And they were powerless kuzuia hujuma hizo?
Kama hali ni hiyo Awamu ya Tano, basi mazito zaidi yatafunuliwa.Kila mmoja aliogopa. Na hapo ndipo unapoona ile hoja ya Madaraka ya Rais ni makubwa mno, kiasi cha kutisha hata vyombo vya usalama.
Ila watakaosema vinginevyo waseme, lakini ukweli pesa walizolazimishwa walioitwa wahujumu uchumi, na zile za kwenye maduka ya kubadilisha fedha, ziliingia kwenye mifuko ua watu binafsi.
Hawa watu walioporwa, kama Serikali itaamua kuwarudishia (wanastahili), maana yake Serikali itawapa pesa hawa walioporwa, kutoka kwenye kodi za wananchi.
Ilipangwa hivi mtuhumiwa alikubali kosa,Jaji anamlima fine,mtuhumiwa analipa au atalipa kwa makubaliano.Mtuhumiwa anaachiwa.Hapana hakuna Sheria iliyokua imetungwa kuwa hizo pesa ziende wapi. Nadhani huo mwanya alioacha JPM ndio ulihalalisha watu kujimilikisha hizo pesa.
Afu utasikia eti ufisadi uliisha 😂😂😂
Mganga ndiye alikiwa anaamua nani alipe kiasi gani.Ilipangwa hivi mtuhumiwa alikubali kosa,Jaji anamlima fine,mtuhumiwa analipa au atalipa kwa makubaliano.Mtuhumiwa anaachiwa.
Kama pesa zimeliwa watafute references kutokea hukumu hadi nani alimlipa nani.
Mkuu ubarikiwe sana kwa kuutoa ukweli wa mambo.Mganga ndiye alikiwa anaamua nani alipe kiasi gani.
Kwanza Mganga anakusomea kwenye mashtaka yako ulikuwa unadaiwa kuisababishia Serikali kiasi gani. Kisha yeye anakupangia ulipe kiasi gani. Kama huna hicho kiasi, unaomba kupunguziwa. Mganga anakupunguzia. Unalipa kwake, cash.
Kisha unaletewa karatasi za mahakama, za kuonesha umekiri kosa, na umekubali kulipa kiasi gani (na hapo Mganga anakuwa amejaza kiasi pungufu ya ulivyolipa). Karatasi zinapelekwa mahakamani kwaajili ya kufuta kesi. Na hiyo ilifanywa na wale majaji wa marehemu (majaji mchongo).
fungua uzi wako hapa tunaongelea mbwa wenu yuleSlaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Dah....hii inaniuma sana.Kila mmoja aliogopa. Na hapo ndipo unapoona ile hoja ya Madaraka ya Rais ni makubwa mno, kiasi cha kutisha hata vyombo vya usalama.
Ila watakaosema vinginevyo waseme, lakini ukweli pesa walizolazimishwa walioitwa wahujumu uchumi, na zile za kwenye maduka ya kubadilisha fedha, ziliingia kwenye mifuko ua watu binafsi.
Hawa watu walioporwa, kama Serikali itaamua kuwarudishia (wanastahili), maana yake Serikali itawapa pesa hawa walioporwa, kutoka kwenye kodi za wananchi.
Tumuache apumzike, hapa ni wale waliohusika kama DPP kukamwatwa mara moja na waeleze pesa zile ziko wapi na wote waliohusika. Pesa zile zirudishwe kwa wenyewe kama hawakuwa na makosa na hawa washatakiwe kwa mujibu wa sheria na wahukumiwe. Marehemu kishaondoka haisaidii kumtaja ni hawa waliopo bado wajibu pesa ziko wapi na je halali pesa zile au walidhulumiwa watu? hii italeta confidence kwa biashara nchi hii, utawala wa sheriaYule shetani aliharibu sn nchi
Waliohusika wakamatwe ili warudishe hela za waathirika.kwahiyo inakuaje
Mkuu niulize tu Mganga ni yule DPP Mganga Biswalo?Kuna mtu toka idara za juu za vyombo vya usalama, marehemu akiwa hai, alinidokezea kwa kusema, "kinachoendelea sasa ni uharamia wa hali ya juu. Unajua kuwa hizo pesa zinazochukuliwa kwa watu wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, haziingizwi kwenye account yoyote ya Serikali wala mahakama, na hawataki ulipe kwa cheque wala bank transfer, kwa sababu hawataki ushahidi. Mganga ghafla amekuwa bik 23rdionea kwa kufanya kazi ya kumkusanyia pesa mzee maana amepewa mamlaka ya kukupunguzia malipo kama utakubali aandike pungufu. Unaambiwa unatakiwa kulipa bilioni 3. Unabembeleza sana, Mganga anasema utatoa bilioni moja na nusu. Weka sahihi hapa. Kwenye karatasi imeandikwa bilioni moja. Hapo Mganga amepata milioni mia tano, mzee bilioni moja, lakini Mganga tena atalipwa na Mzee wakati atakapompelekea. Kuna wizi, wizi mkubwa sana unafanyika"
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
Siku zaja ukweli utawekwa wazi, na hasira za watu zitawaka dhidi ya washirika wa marehemu katika uovu.
CAG hatoi hauli tu ana ushahidi anachosema ni kweli 100% ila kauli kutolewa bila ushahidi haina maana yoyote, Dr Slaa kama ni kweli basi na yeye ashtakiwe kwa kujuwa haya mauwaji na kukaa kimyaa miaka yote bila kutoa taarifa. anayeficha ushahidi ni muhalifu pia. CAG akikaguwa ana mpa mshtumiwa muda wa kujibu na kuonesha kama risiti anayo inabidi atoe akishindwa kuonesha ndio inakuja kwenye report na hapa kumbuka ni CAG wa serikali siku akija mkaguzi huru kabisa hatutaangaliana usoni jamani na uhakika 100%Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Sio kurudisha tu wahukumiwe kwa mujibu wa sheria kurudisha tu haitoshi maana hata mwizi wa kuku jela atolewe akanunue kuku arudishe. sheria msumeno. Siku hawa wakishtakiwa wote waliotajwa na kuhukumiwa na kutaifishwa pesa zote zirudi ndio adabu zitakuwepo. awe mkuregenzi, awe katibu yoyote yule kala pesa mahakama ya mafisadi ahukumiwe ndio tutakuwa na adabu.Waliohusika wakamatwe ili warudishe hela za waathirika.
DPP aliyekuwapo ni no moja.