Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Upuuzi mtupu.View attachment 2206741
Umeshinda mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi mtupu.View attachment 2206741
Umeshinda mkuu
Mama na Kikwete hawatofanya chochote hapa.....watakuwa wanacheka tu huku wakinywa kahawa.Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA
Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
View attachment 2202712
Upuuzi mtupu.Umekosa hoja sasa umeamua kujibashite tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wanajinyea!Umekosa hoja sasa umeamua kujibashite tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kinana kesha toa tamko la chama.Mama na Kikwete hawatofanya chochote hapa.....watakuwa wanacheka tu huku wakinywa kahawa.
Akili za nyumbu huwa zinasahau kirahisi sana. Mbowe hakukamatwa na kufunguliwa kesi kipindi cha JPM.Kwa jinsi serikali ilivyoonyesha ina mtamani Mbowe mpaka kumpa kesi ya kubumba, Unafikiri hizi tuhuma zingekuwa za kweli saizi angekuwa uraiani?
Nyie masalia ya mwendazake naona aliendazake na akili zenu!.
Hii issue ni rahisi sana. Lolote lililofanyika wakati wa uongozi wa Magufuli, aliyeondoka ni yeye tu, wengine wapo, kwa nini hawaulizwi? Aliyekuwa waziri wa fedha yupo, aliyekuwa makamo wa rais yupo, aliyekuwa DPP yupo, Aliyekuwa waziri mkuu yupo, mawaziri wote wa serikali ile wapo. Si muwaulize tu. Acheni blah blah.Hapana hakuna Sheria iliyokua imetungwa kuwa hizo pesa ziende wapi. Nadhani huo mwanya alioacha JPM ndio ulihalalisha watu kujimilikisha hizo pesa.
Afu utasikia eti ufisadi uliisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Waliohusika kwenye Serikali ya JPM wote wapo, so haihitaji elimu kubwa kubaini kwamba ndo hawa hawa wa serikali hii iliyopo ndo wanatakiwa waulizwe.Kwanini mnatetea mafisadi? Yaani hamtaki kuamini kilikua na majizi enzi za JPM? Mbona Sabaya kakutwa na hatia kupora mamilion au hakupo enzi za JPM? Vipi Nchambi si alihukumiwa kulipa Mabilion baada ya kukiri kuwa ni jangili au hakuwa enzi za JPM?
He was never a saint, but rather an overrated scumbag.
Audit querry? Wakati walikua na zaidi ya mwezi mzima kupeleka majibu kwa CAG!!Hii issue ni rahisi sana. Lolote lililofanyika wakati wa uongozi wa Magufuli, aliyeondoka ni yeye tu, wengine wapo, kwa nini hawaulizwi? Aliyekuwa waziri wa fedha yupo, aliyekuwa makamo wa rais yupo, aliyekuwa DPP yupo, Aliyekuwa waziri mkuu yupo, mawaziri wote wa serikali ile wapo. Si muwaulize tu. Acheni blah blah.
Ripoti ya CAG ni audit queries ambayo ikishafika bungeni inatakiwa kujadiliwa na Serikali hii iliyopo ijibu hizo queries. Au mnataka Serikali ile ijibu? Hilo pia linawezwkana maana wote wapo isipokuwa JPM tu. Rudia kusoma.kama hujaelewa siyo unaleta povu
Kipindi Cha JPM Mbowe alikaa ndani miezi zaidi ya 6 na Matiko tena bila kesi ya kueleweka.Akili za nyumbu huwa zinasahau kirahisi sana. Mbowe hakukamatwa na kufunguliwa kesi kipindi cha JPM.
Mnapenda kudandia ugomvi wa wana CCM kwa kuchukua upande bila kushughulika na ustawi wa chama chenu na pia mnashughulishwa na chuki mliyonayo dhidi ya marehemu JPM
Sishangai ndo mana mnashindwa kirahisi kwenye chaguzi
Tutaona mwisho wake...maana hawa jamaa kwa kuongea tu bila kutekeleza hawajamboKinana kesha toa tamko la chama.
Waliotuhumiwa na CAG wapelekwe vyombo vya sheria.
Wasipochukua hatua basi wananchi tutajua sasa CCM ni chama cha wasanii!Tutaona mwisho wake...maana hawa jamaa kwa kuongea tu bila kutekeleza hawajambo
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.Kuna mtu toka idara za juu za vyombo vya usalama, marehemu akiwa hai, alinidokezea kwa kusema, "kinachoendelea sasa ni uharamia wa hali ya juu. Unajua kuwa hizo pesa zinazochukuliwa kwa watu wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, haziingizwi kwenye account yoyote ya Serikali wala mahakama, na hawataki ulipe kwa cheque wala bank transfer, kwa sababu hawataki ushahidi. Mganga ghafla amekuwa bik 23rdionea kwa kufanya kazi ya kumkusanyia pesa mzee maana amepewa mamlaka ya kukupunguzia malipo kama utakubali aandike pungufu. Unaambiwa unatakiwa kulipa bilioni 3. Unabembeleza sana, Mganga anasema utatoa bilioni moja na nusu. Weka sahihi hapa. Kwenye karatasi imeandikwa bilioni moja. Hapo Mganga amepata milioni mia tano, mzee bilioni moja, lakini Mganga tena atalipwa na Mzee wakati atakapompelekea. Kuna wizi, wizi mkubwa sana unafanyika"
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
Siku zaja ukweli utawekwa wazi, na hasira za watu zitawaka dhidi ya washirika wa marehemu katika uovu.
Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.Kuna mtu toka idara za juu za vyombo vya usalama, marehemu akiwa hai, alinidokezea kwa kusema, "kinachoendelea sasa ni uharamia wa hali ya juu. Unajua kuwa hizo pesa zinazochukuliwa kwa watu wanaodaiwa ni wahujumu uchumi, haziingizwi kwenye account yoyote ya Serikali wala mahakama, na hawataki ulipe kwa cheque wala bank transfer, kwa sababu hawataki ushahidi. Mganga ghafla amekuwa bik 23rdionea kwa kufanya kazi ya kumkusanyia pesa mzee maana amepewa mamlaka ya kukupunguzia malipo kama utakubali aandike pungufu. Unaambiwa unatakiwa kulipa bilioni 3. Unabembeleza sana, Mganga anasema utatoa bilioni moja na nusu. Weka sahihi hapa. Kwenye karatasi imeandikwa bilioni moja. Hapo Mganga amepata milioni mia tano, mzee bilioni moja, lakini Mganga tena atalipwa na Mzee wakati atakapompelekea. Kuna wizi, wizi mkubwa sana unafanyika"
Kuna watu humu wanamtetea marehemu kwa sababu walikuwa ni washirika wake katika wizi, wengine wanamtetea kwa sababu ya ujinga, wanaamini alikuwani kiongoI mzuri Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.
Siku zaja ukweli utawekwa wazi, na hasira za watu zitawaka dhidi ya washirika wa marehemu katika uovu.
Siku uovu wake na washirika wake, utakapowekwa wazi, watu watajificha ili wasijulikane kama waliwahi kumsifia Magufuli. Ni mwizi aliyekuwa anasisitiza uaminifu. Ni haramia aliyekuwa anasisitiza upendo. Ni mharibifu wa Taifa aliyekuwa anasisitiza uzalendo. Ni mwongo aliyekuwa anasisitiza ukweli.Itoshe tu kusema wanaoteswa na jina la Magufuli ni wapumbavu wakubwa
That's why there was 'a termination'Mkuu this is serious.
Yaani vyombo vyetu vya usalama VILIJUA MAGUFULI anahujumu nchi .
And they were powerless kuzuia hujuma hizo?
yule mbwa azidi kuchomeka katesa watu wengi
Haipo tena Serikali Tanzania itakayokuja kuibiwa fedha kama Serikali ya JPMCAG hawezi kuwa hayuko sahihi; yuko sahihi kabisa kwa 100% isipokuwa ninachoamini mimi ni kwamba pesa hizo zilikuwa zinapigwa JPM akiwa hajui. Haipo tena Serikali Tanzania itakayokuja kuibiwa fedha kama Serikali ya JPM. Niweke hata mimi kwenye nafasi ya Urais wa JMT, siwezi kuibiwa kama alivyokuwa anaibiwa Hayati JPM
Tuchukulie kwa mfano kwenye miradi ya maji Wizara ya Maji niliwahi kutonywa na mtu muhimu kuwa fedha za maji zilikuwa zinapigwa ile mbaya, kuna mtu aliwahi kunitonya. Zilianza kupigwa baada ya JPM kushauriwa kuteua kiongozi mmoja kwenye wizara hiyo ambaye pengine hakuwa makini au alikuwa mmoja wao wapigaji. By the way, ripoti ya CAG kwenye wizara hii iliwahi kusema nini?
Tena wasanii wanaopita kutembea kama hawana akili kutangaza ujio wa Royal TourWasipochukua hatua basi wananchi tutajua sasa CCM ni chama cha wasanii!