CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Wakamatwe au ndiyo wanapewa promotion kila kukicha?
 
Wakamatwe au ndiyo wanapewa promotion kila kukicha?
Haya mambo yanahitaji kubadilika na lazima yaanze sasa nasikitishwa na bunge ambalo ndio wajibu kuhoji kila kitu wao busy kula futari za bure. shida kubwa nchi hii hatuna DPP huru mwenye uwezo wa kumshtaki yoyote akiwa amefanya makosa na kumpeleka mahakamani, CAG report ni ushahidi tosha lakini hakuna la kufanyika sababu DPP yuko kisiasa anasubiri apewe maelekezo kisiasa tu hakuna weledi. nchi zingine hawa waliotajwa leo wangekuwa mahakamani. Israel wana best system jana waziri mkuu wao katajwa tu anatumia dola alfu 26 kwa matumizi yake ya nyumbani na bado kisheria kapigwa maneno mwenyewe kasema basi chakula najilipia mwenyewe. Huku miaka nenda mkurugenzi kaiba sijui nani kaiba nyimbo zinaimbwa mpaka tunasahau. ukisikia wanaunda tume tu juwa tumeibiwa ni tech ya kupotezea jambo kama yale mauwaji ya Mtwara siku 14 imekuwa miezi 14 hakuna wa kumuuliza hata waziri mkuu bungeni wewe ulisema hili mbona kimyaa kama PM unapoteza kuaminiwa kwako tena alitakiwa kujiuzuru leo hii.
 
3/4 ya wabunge wamepewa ubunge na mwendazake.
Jamaa tuna amini hawawezi kumkosoa bungeni au nje y bunge.
Watu kama Kibajaji au Mpina.
Hata kuongelea huu ufisadi wanakwepa.
Kupitia hao mwendazake ilikuwa abadili katiba awe Kagame/Museveni wa Tanzania.
 
Huko uliko dictator Magufuli ninaamini wewe ni kiongozi wa Mashetani tena zaidi ya Lucifer. Tunamshukuru Mungu Kwa March 2021. Wabunge walijisemea "Ujambazi usiotumia Silaha". Continue to Rest in Hell .

Tunamshukuru Mungu Kwa KAZI nzuri March 2021 na kutuletea Mh. Samia Suluhu Hassan.
 
Either mnasoma vibaya hiyo ripoti na kupotosha, au CAG wetu ni kiazi.
CAG hawezi kuwa hayuko sahihi; yuko sahihi kabisa kwa 100% isipokuwa ninachoamini mimi ni kwamba pesa hizo zilikuwa zinapigwa JPM akiwa hajui. Haipo tena Serikali Tanzania itakayokuja kuibiwa fedha kama Serikali ya JPM. Niweke hata mimi kwenye nafasi ya Urais wa JMT, siwezi kuibiwa kama alivyokuwa anaibiwa Hayati JPM

Tuchukulie kwa mfano kwenye miradi ya maji Wizara ya Maji niliwahi kutonywa na mtu muhimu kuwa fedha za maji zilikuwa zinapigwa ile mbaya, kuna mtu aliwahi kunitonya. Zilianza kupigwa baada ya JPM kushauriwa kuteua kiongozi mmoja kwenye wizara hiyo ambaye pengine hakuwa makini au alikuwa mmoja wao wapigaji. By the way, ripoti ya CAG kwenye wizara hii iliwahi kusema nini?
 
Huku ni shamba la bibi wewe chuma mambo yaende
 
Hukunielewa tu tu nilikuwa naongea kinyume kaka
 
Sijasikia serikali kusema lolote juu ya kadhia hii.
Hapa hakuna siasa ni ukweli tu unahutajika.
CCM imetuangusha sana.
 
Vyombo vyetu vinajua hili lilitokea na Magufuli alihusika.
Kwa nini havianzi na huyo Mganga?
 

Una mkamati mtu kwa wizi halafu unamwambia ukitoa pesa unaweza kutoka halafu unakula ile pesa.... lakini wewe sio mwizi!! TZ ...
 
Upuuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…