CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Lakini mbona mama yako unayemsifia hachukui hatua zozkte mwa wiI na ufisadi uliowazi na unalilotiwa na vyombo vyake..harafu unamsifu
Kuna utawala wa sheria. Siyo kila kitu atafanya Rais Samia. Kwanza anachotoa CAG ni hoja za kiukaguzi wala siyo ropoti ya wizi. Hicho hamkijui. Mnataka kila hoja ya ukaguzi iende jela.

Hao wenye hoja za ukaguzi wanapaswa kujibu. Baada ya hapo Kamati ya hesabu za bunge itazifuatilia na kisha.

Zile ambazo hawataridhika ndiyo zinakwenda TAKUKURU. Na hao TAKUKURU wanakusanya ushahidi wao na kisha wanapita kwa DPP kwa ajili ya kupeleka Mahakamani.

CAG query isn't fraud but a mere symptom
 
Huwa sielewi na sioni umuhimu wa taarifa kama hizi baada ya CAG kutoa mapendekezo yake, hakuna hatua zozote, sijui sheria zime_freeze!.
 
"Upigaji wa ndege tuliyo ipokea Jana mtaukutaaa mwakaniii....!!!!"(In Juma Nature's Voisi)
 
Bora mtaifishe kila kitu la sivyo mtakaa mnasoma report kila kukicha na hakuna wa kufanya kitu
Kweli Shirika la Reli linapata hasara HOW
Abiria ina Lipa ila majizi tu yanaharibu sifa za biashara hizi

Kuhusu ndege mzifanye nyumba tu au hoteli
 
Let's say Magufuli alikosea; does that justify her wrongs?
 
Nmfyuuu....
 
Shirika litaachaje kupata hasara wakati kila siku linapakia rundo la wanasiasa kuzurura tu duniani?!.
 
Kwa hiyo mama kaongeza hasara na kaongeza uwekezaji ! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini haya mandege wasiwaachie private sekta hawa wapuuzi kila siku nchi inapata hasara?
 
Hatuitaji ubora, tunahitaji uwajibikaji


Nasikia waafrica mnalaana ; wakati wa nuhu mlimchungulia baba yenu akiwa uchi, kisha akawalaani, nasikia ile laana inawala hadi leo !

Eti ni kweli ?
🀣🀣🀣 ni kweli wana laana.
nawaogopa hao viumbe usikae karibu nao watakuambukiza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…