Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna utawala wa sheria. Siyo kila kitu atafanya Rais Samia. Kwanza anachotoa CAG ni hoja za kiukaguzi wala siyo ropoti ya wizi. Hicho hamkijui. Mnataka kila hoja ya ukaguzi iende jela.Lakini mbona mama yako unayemsifia hachukui hatua zozkte mwa wiI na ufisadi uliowazi na unalilotiwa na vyombo vyake..harafu unamsifu
Nenda kasome Katiba.ya JMT, sheria ya CAG na Sheria ya Makosa ya Jinai.Kama hakuna hatua kali zinazochukuliwa, hakuna aliye bora
Let's say Magufuli alikosea; does that justify her wrongs?Bora huyu anapokea ripoti na tunajuwa ubovu na ufisadi wote. Kuliko DIKTETA Magufuli yeye aliposomewa ripoti ya upotevu wa Tsh 1.5 Trillion akamfukuza kazi CAG Prof Assad.
Bahati mbaya Bunge ndilo lenye kuchukua hatua. Ila Bunge lenye UTAAHIRA aliloliacha Magufuli unategemea lifanye nini? Bunge lina wabunge 99.999% wa CCM.
Simtetei Samia kwa kutochukua hatua kwenye ropoti ya mwaka 2021/22 kama tulivyotarajia. Nchi hii inaendeshwa kwa Katiba na utawala wa Sheria. Rais hawezi kusomewa ripoti leo halafu kesho aseme kamata fulani na fulani peleka Mahakamani. Tutakuwa tuarudia UHAYAWANI uleule wa Magufuli aliyejaza watuhumiwa magereza lakini hakuna hata kesi moja aliweza kuimaliza hadi anakufa.
Upo utaratibu nankuna vyombo vya kufanya hayo mambo. Na mwenye majukumu makubwa ni Bunge.
Katiba inaruhusu Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kama maagizo ya CAG hayatekelezwi. Kura zikipigwa na wakashinda wanaosema hawana imani basi Rais anavunja cabinet.
Nmfyuuu....Kuna utawala wa sheria. Siyo kila kitu atafanya Rais Samia. Kwanza anachotoa CAG ni hoja za kiukaguzi wala siyo ropoti ya wizi. Hicho hamkijui. Mnataka kila hoja ya ukaguzi iende jela.
Hao wenye hoja za ukaguzi wanapaswa kujibu. Baada ya hapo Kamati ya hesabu za bunge itazifuatilia na kisha.
Zile ambazo hawataridhika ndiyo zinakwenda TAKUKURU. Na hao TAKUKURU wanakusanya ushahidi wao na kisha wanapita kwa DPP kwa ajili ya kupeleka Mahakamani.
CAG query isn't fraud but a mere symptom
Wewe ndio mgeni na Mimi labda.Angalau miezi hii miwili umeanza kuona loophole zilizopo serikalini chini ya CCM.. tofaut na yule Mwashambwa yeye ni kusifu na kuabudu kila Kitu.
How? Yeye ndio CEO wa ATCL?Kwa hiyo mama kaongeza hasara na kaongeza uwekezaji ! 😂😂😂😂
Hahaha boda tenaHamnaga hata maana ya hizo ripoti, wala kuzitangaza....kama ni utaratibu wa kazi CAG aandae tu ampe boda apekele. Haya matangazo hayana tija.
🤣🤣🤣 ni kweli wana laana.Hatuitaji ubora, tunahitaji uwajibikaji
Nasikia waafrica mnalaana ; wakati wa nuhu mlimchungulia baba yenu akiwa uchi, kisha akawalaani, nasikia ile laana inawala hadi leo !
Eti ni kweli ?