CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Baadhi ya Mawaziri wajiandae na reshuffle baada ya ripoti hii.

Kuna nyepesi nyepesi kuhusu hilo nimeinyaka sehemu.

All in all watabadirishiwa Wizara tu ila wataendelea na kazi [emoji119]
Hata ikifanyika reshuffle wataletwa waovu kuliko waliotoka,CCM ni genge la mafisadi wanazidiana viwango tu.
 
Hakuna cha maana hata ikionekana hela zote za hazina zimechukuliwa
Hamnaga hata maana ya hizo ripoti, wala kuzitangaza....kama ni utaratibu wa kazi CAG aandae tu ampe boda apekele. Haya matangazo hayana tija.
Nashauri Ile taarifa ya Mkaguzi wa ndani ndio iwe inawasishwa Bungeni,Bunge la mwezi Sept au wa kumi,hii Iko more current na uzuri mmoja haitofautiani sana na hii ya CAG ambayo inatolewa baada ya miaka miwili 2022/2023inatolewa 2023/2024
 
Kuna watu walichanja,na wengine tulipata vyeti tu
Screenshot_20240328-133524.png
 

Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenye mwaka wa fedha 2022/23 limepata amebaini hasara hasara ya Sh56.64 bilioni, ikiwa imeongezeka kwa asilimia 61 kutoka Sh35.4 bilioni ya mwaka uliotangulia.

Kichere amesema hayo leo Machi 28, 2024 Ikulu ya Chamwino, Dodoma wakati akitoa tathmini ya hasara zilizotokea kwenye taasisi mbalimbali za umma.

CAG ameeleza hayo wakati akitoa ripoti ya ukaguzi kwa mwaka 2022/23 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Back
Top Bottom