CAG: Mkandarasi alichukua tenda kwa 104b akaiuza kwa 40b akapiga cha juu 64b

Waliokuwa viongozi awamu ya 5 wakamatwe.
 
Wewe unafanya biz let’s say unaagiza vifaa vya ujenzi kutoka nje ka kontena tuwili unalipa kodi zako zote halafu mtu X anaagiza kontena 200 na analipa kodi kontena 100 tu au zaidi kidogo pale port! Unategemea utakuwa nae sawa kwa kukua? Hutakua sawa katika ushindani wke wa kibiashara n hutakua kamwe utapiga marktime tu.

Kama hujanielewa kwa notis nambie nikupe summary.
 
Wazalendo wa Chato waliopiga cha juu wanasemaje? 😁😁😁😁..

Hakuna kipindi Nchi imeliwa kama awamu ya 5 maana hakuna wa kuwakosoa,kawaulize Akina Makonda nk
 
Waliokuwa viongozi awamu ya 5 wakamatwe.
Magufuri hamwezi kumchafua mkamweza, sanasana ni kujifariji tu, Magufuri amejenga stend za kisasa Tanzania,kajenga barabara mpaka za njia 8 ambazo ilikuwa ni ndoto kutokea Tanzania,kanunua ndege ambazo tawala 3 zilizopita zilikuwa zinatuambia serikali aina uwezo wa kununua ndege kwa cash, kajenga Dodoma kitu ambacho kilishindikana tawala 4 zilizopita, kajenga meli ambazo zilikuwa zimeisha shindikana, Kajengea walalaoi magorofa Sasahivi walalaoi pale magomeni hawaamini kama niwao kitu ambacho kilimshinda hata Nyerere,alafu huyo Magufuri kaiba mabilioni, Tanganyika tungelipata wezi aina ya Magufuri tungelifurahi Sana.
 
hapo kwenye malipo mbona kama mimi sijaelewa,tafadhali alieelewa anifafanulie mbona kama sioni kiasi chochote kilichozidi?
Yaani iko hivi ,umepewa tenda ya bil.100 ukamuuzia mwingine Kwa bil.40 so wewe umepiga 64 ya bure..

Kiufupi ni kwamba thamani halisi ya mradi haikuzidi 40 bln hicho cha juu,walitumia kama kampuni ya kupitishia pesa.
 
Yule fala kiukweli alikuwa fisadi yaani haijalishi mtasemaje,jambo la msingi ni je ni kweli au uongo?
 
lakini tenda zilitangazwa na kushindanishwa,mpaka kampuni mama kushinda tenda? je kama tenda ilitangazwa na kushindanishwa hatimae alieshinda tenda akaamua kuuza kwa sababu zake binafsi serikali inakosa gani?
 
lakini tenda zilitangazwa na kushindanishwa,mpaka kampuni mama kushinda tenda?
Wewe ni mgeni wa upigaji wa kwenye tenda..

Kwa taarifa yako unajua maana ya ku inflate bei afu unampanga contractor wa mchongo?

Unajua kwamba huwa wanaweza weka mradi wa bil.let say 200 ila kiuhalisia ni bil.50 afu cha juu wanachukua wao kwa njia ya kununua tenda au mwenye tenda kuwatoa Chao mapema?
 
Yule fala kiukweli alikuwa fisadi yaani haijalishi mtasemaje,jambo la msingi ni je ni kweli au uongo?
Hapo kuna uongo hupi?kila kitu kinaoneka wazi barabarani tunaziona,mwenge Morocco kulikuwa akupitiki,pale Bamaga hadi shekilango ilikuwa hivo hivo, Sasahivi watu wanatereza, ndege zinaonekana,Kijazi interchange hipo,stendi zipo kipi ambacho akionekani?Samia mwaka mmoja hajatandaza hata kilometer Moja ya lami,by Alima Mdee.
 
Hayo yalimpa kibali cha kuiba?!
 
Nani fisadi hakujenga barabara? Acha utoto wewe..Kwa hiyo Samia akijenga barabara,reli,maji nk ndio tiketi ya kuwa fisadi?

Nyie washenzi mnakera sana
 
Mi wakinipa laki TU inanitosha...
 
Eeee bhana eeee !! watu wanajipigia hela jamani Dah !
 
lakini tenda zilitangazwa na kushindanishwa,mpaka kampuni mama kushinda tenda? je kama tenda ilitangazwa na kushindanishwa hatimae alieshinda tenda akaamua kuuza kwa sababu zake binafsi serikali inakosa gani?
Kosa lao walishindwa kujua gharama za mradi.
 
Sasa ambaye
Nani fisadi hakujenga barabara? Acha utoto wewe..Kwa hiyo Samia akijenga barabara,reli,maji nk ndio tiketi ya kuwa fisadi?

Nyie washenzi mnakera sana
Sasa ambaye sio fisadi siajenge tu, Sisi hatuitaji maneno tu tunaitaji kuona, maana Magufuri alikuwa fisadi tumeona yaliotanyika,huyo mama yenu ambaye sio fisadi nae afanye basi,kila rais atapimwa kwa kazi zake alizofanya, maana Sasahivi watanganyika tumeisha ona hatudanganyiki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…