CAG: Mkandarasi alichukua tenda kwa 104b akaiuza kwa 40b akapiga cha juu 64b

Wanaingia madarakani kwa nguvu, kinyume na matakwa ya wananchi. Alaf wakishafika ofisini, walau hata wafanye Cha maana. Ni uhuni mtupu
 
ccm mbele kwa mbele
 
My Take
Msimamo wangu ni uleule,kwa mwendo huu ni bora nchi ikauzwa kila mtu achukue chake ajue anafanya nini. Inatia uchungu sana.


Nchi huwa inauzwa wapi mkuu, namaanisha soko lake liko wapi



YESU NI BWANA
Kwa Mabeberu
 
Kama mnayvoililia katiba muandike kuiba rukhsa
Nina maana hata mlete sheria zipi bado hela zitapigwa tu na so called wataalamu na wasomi
 
My Take
Msimamo wangu ni uleule,kwa mwendo huu ni bora nchi ikauzwa kila mtu achukue chake ajue anafanya nini. Inatia uchungu sana.


Nchi huwa inauzwa wapi mkuu, namaanisha soko lake liko wapi



YESU NI BWANA
Marekani walinunua alaska toka kwa warusi

Ipigwe bei tu, kila mtu achukue chake[emoji23]
 
Inawezekana unataka kuitafsiri vibaya ripoti hiyo kuwa Mamlaka ya Bandari au serikali ilifanya uzembe au ilishiriki kuiba hela kiujanja.

Hiyo ripoti uliyokwoti inaonyesha kuwa mkandarasi huenda hakuwa mwaminifu na alifanya hivyo kabla hajasaini mkataba wake na Mamlaka ya Bandari. Vile haionyeshi kuwa kazi yote ilifanywa na mkandarasi mbia tu au mkandarasi mbia alipewa sehemu ya kazi kama ilivyo kwa subcontractors mbalimbali wakati mkandarasi mkuu akifanya sehemu ya kazi. Haikuionyesha kama kazi ilifanywa na kukubaliwa na mamlaka ya bandari au haikufanywa kabisa lakini Bandari ikalipa.
 
Unadhani kuna haja ya kuwapekua watu wake wa karibu au labda hata nyumbani kwake ?
 
Sasa kwani hajengi? Kwani huoni au chuki zinakusumbua?

Unataka ajenge vyooote kwa mwaka mmja? Sio tuu anajenga bali na sekta zingine zote zinasogea kwa matokea chanya hakuna kisingizio cha najenga sgr kama yule Dhalimu aliyeshindwa.

Wewe ndio karithishe huo ujinga Kwa watoto wako,kwamba mtu akideliver basi ndio shelter ya kufanya asiwajibishwe kwa ufisadi ?
 
Kwani hapakuwa na bidding process katika kumpata huyo mkandarasi? Kama alishinda maana yake yeye si ndio ali-bid the lowest? Au huyo kapata tender kwa rushwa?

Mi ndio maana naona kukwepa kodi ni jukumu letu sote, haiwezekani wengine tukamuliwe tozo halafu wengine wanatuhujumu kijinga kabisa!
 
Mkandarasi wa Bwawa la umeme alipatikana Kwa tenda ipi? Bei iko inflated.

Yapi Merkez Kwa tenda ipi?

Hao wote wakiwamo Mayanga walikuwa ni wakandarasi wa mchongo kuwezesha upigaji..

Nyie sukuma gang mlikuwa mafisadi Sana nguruwe nyie na mlijipanga kila kwenye sekta nyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…