CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad: Tatizo tuna watu ambao wameibuka, Kiongozi lazima atayarishwe

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule mwenye uwezo wa kusimamia watu na taasisi kwa ufanisi kupitia mambo makuu matatu: upangaji wa mipango ya muda mrefu (planning), utekelezaji makini unaoshirikisha timu thabiti ya watu, na upimaji wa matokeo (performance measurement).

Your browser is not able to display this video.
 
Rest in peace my lovely country Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…