YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.