CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Nina mashaka na uwezo wa kicheere upstairs, nimesoma naye, I know him better
Huu unaweza kuwa uteuzi wa kuidhalilisha taasisi ya CAG
Unasema you know him better lakini hapohapo unasema tena una mashaka na uwezo wake! Tukuelewe je sasa?
 
Nataman kuwasikia wanaopendekeza JPM aongezewe muda wapendekeze pia PROF. ASSAD aongezewe muda
 
Sasa mpira unachezwa pale golini kabisa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Historia ya kichere akiwa HOF Tanroad na Magu inachangia..
 
System guy,wapo wengi sampuli hii.
 

Hana fluency yoyote in English, English yake, mtoto wangu wa darasa la Saba ana nafuu
 
Nayeye atatwambia kwamba rais kamtoa jalalani.
 
Wewe mwehu utaendelea kubweka hadi uzeeke
Na porojo zako zisizo na kichwa wala miguu
 
Aisee pesa za watanzania zipo hatarini, safu za kuwezesha upigaji zinapangwa na kupanguliwa.
 
Sasa hivi ni wakati wa jiwe,hata nikinuna haisaidii. Hongera kwa Kachere walau ana uhakika wa kukaa miaka 5 sehemu moja.
Sio miaka mitano mkuu kumbuka utawala wa serikali hii kwa awamu yake unaisha mwakani hvyo si ajabu ukashangaa mwakani wakat raisi anaunda serikali mpya ukashangaa na yy asiwepo...yote yanawezeikana
 
JK alikuwa anateua vichwa na anavipa uhuru, ila kulikuwa na udhaifu katika kufanyia kazi taarifa za vile 'vichwa' anavyovipa kazi.

Sasa hivi sijui,kazi ipo.

Nampongeza mteuliwa na nampongeza zaidi aliyemaliza kazi yake,hakika atakumbukwa kwa ujasiri na itekelezaji wenye kuonekana wa viapo vyake. Mungu akamlinde na kumtunza pamoja na familia yake.
 
Kwa elimu hii sasa naanza kuelewa kwanini ali shindwa TRA... Naanza pia kuona anguko kwenye udhibitli WA pesa za serikali. CV yake haiendani na wadhifa alio pewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…