CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Awamu hii wanaotakiwa ni wale watu dhaifu, weledi duni na wanafiki wa kusifu na siyo critics. Ndiyo sababu kubwa ya mambo mengi kutokwenda kiuhalisia. Hatuitumii vizuri faida ya kuwa watu wengi wenye uwezo na fikra tofauti.

Nchi imekuwa ya KISULTANI!!!
 
Sisi twataka kaa milele hilo swala la udhaifu halituhusu
 
Yani kila siku mnalia humu ajira ni bomu, kaondolewa kipenzi chenu mmeanza kumtetea, hao mnaowapenda wakiendelea kuwa maofisini vijana watapata ajira lini?!

Nani sio bomu nchi hii?!

Hapo ni yupi ambaye ni mpya kapata ajira..?
 
Hakutumbuliwa, alihamishwa. Wanaotumbuliwa huwa wamefukuzwa kazi.
 
Mkuu mbona unachanganya mambo? CAG ameomba kuondoka lini? Huyu amestaafishwa bila hata ya yeye mwenyewe kupewa taarifa, fuatiliana maoni yake baada ya hizi taarifa za CAG mpya.
Muda wake wa miaka mitano umeisha. Pia umri nao umefikia ukingoni kuendelea kuwa CAG
 
Kukichwa kutapambazuka
 
Mmesahau yule mliyemuita dhaifu leo mnampigia meza bungeni eti mmemmisi
Awamu hii wanaotakiwa ni wale watu dhaifu, weledi duni na wanafiki wa kusifu na siyo critics. Ndiyo sababu kubwa ya mambo mengi kutokwenda kiuhalisia. Hatuitumii vizuri faida ya kuwa watu wengi wenye uwezo na fikra tofauti.
 
Hv kwanza ana mnyama CPA au ndio kupeana tu vyeo???
 
CAG hawezi kuwa zaifu maana CAG ni mkaguzi wala si mtendaji
 
Kumuita rais jiwe ni tayari unaonyesha sumu na visasi ulivyonavyo juu yake.
Siasa za hoja mmeshindwa na sasa ni kuvizia matukio kila siku.
Shame on all of you
 
Kumuita rais jiwe ni tayari unaonyesha sumu na visasi ulivyonavyo juu yake.
Siasa za hoja mmeshindwa na sasa ni kuvizia matukio kila siku.
Shame on all of you
 
Attachments

  • IMG_20191031_125704.jpg
    110.1 KB · Views: 1
Hapo ni sawa na kumuweka mpenzi wako akukague, huna hata wasiwasi maana anakagua matumizi yake mwenyewe.
 
Mshenzi Mkubwa wewe, udhaifu wake upo wapi? Wewe kama Mme wako ni dhaifu kitandani usichukulie wanaume wote ni dhaifu...

Acha kuokota maneno huo mtandaoni na kuleta humu ndani.

Povu limekuwa jingi, Naanza kupata mwanga kuhusu udhaifu
 
Ulijuaje huyu aliyemaliza kabla ya utendaji wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…