CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Hongera kwa uteuzi, mmmhh Kichere kwa performance aliyoonyesha TRA will he make a good CAG? Tumpe muda CV sio mbaya but katika CV yake sioni CPA, sioni ACCA. Ila nasema ni kumpa muda, sbb ameshafanya sana as Internal Auditor, kazi ataweza tu
 
Prof.Mussa Assad kahudumu ofisini kwa miaka 5 na amestaafu kwa heshima. Bado naamini Rais anaweza kumpangia majukumu mengine. Kipekee kabisa naomba kumpongeza Charles Edward Kichere kuwa CAG. Hongera sana.
 
Gudluck

 
Wewe mwehu utaendelea kubweka hadi uzeeke
Na porojo zako zisizo na kichwa wala miguu
Mimi ni mwehu sio? Na we unaendelea kum quote mtu mwehu!
Nimegundua ni wa aina gani hivyo ngoja nikuache kwa sasa. Na hasa jumapili hii tuu
 
Katuonyesha madudu lkn hakuna hatuwa yeyote iliyochukuliwa na wananchi wala bunge
kazi yake imepuuzwa sasa kuna haja gani
 
Faiza foxy anazidi kupata pigo, juzi wamumuua kiongozi wa IS, leo jamaa mpiga DUA ofisini kwishney, wapi zitto kabwe
 
I am short of words mkuu,kweli am shocked kwa kiasi flani kwa taarifa hii na uteuzi huu.

Sina Doubts pale NAO sitegemei kuwepo kwa competence,intergrity,Objectivity kwenye utendaji kazi wao kwa kipindi hiki cha mteule huyu.

Lkn pia kifo cha NBAA nakiona nje nje,Mpk 2025 watakua na hali mbaya sana/wameshakufa kabisa hopefully Boss Maneno anajionea mwenyewe nadhani Nbaa watakua wamerudi nyuma kama miaka 15 Nyuma.
Mkuu hizo qualities ulizotaja hapo nadhani kwa sasa usizitarajie, Lengo kuu kwa sasa ni mpira ufike kwa kipa whether kwa rafu or any means necessary.

Maneno na NBAA yake waendelee tu kuratibu mitihani na kuingiza pato ila kwa sasa wanaohitajika ni kina Kicheere na wanaofanana na yeye.
 
That "Diploma in Financial Management of Donor Funded Project" is a joke. It was conducted in 3 weeks, what sort of a diploma is that? I went through the same "course" but I dare NOT tell people of it.
Only in Tanzania. Miezi michache tu alimtumbua toka TRA hadi kuwa RAS.
Alisema dhahiri kashindwa kazi TRA. Sasa ataweza kuwa CAG na elimu yake yenye mashaka?
Huyu jamaa ana CPA kweli? Alafu mbona elimu yake ina viraka vingi sana?
 
Hongera sana Prof Asssad,Mti wenye matundu kupigwa mawe ndivyo na wewe ulivyokuwa,ulionyesha uzalendo kwenye fedha za wanyonge walipa kodi wa nchi Maisha mrefu yenye baraka za Mungu.
 
Nyie wapinzani mpo timamu?

CAG anafanya kazi kwa mkataba wa miaka mitano
Km unampenda sana CAG mwajiri kwako kiazi we
Kiazi baba yako.
Bado hajatimiza 60 years. Halafu unashangaa kitu gani wakati Pombe amebobea kukiuka katiba?
 
Huyu Kichere ndo aliyemshughulikia Kakobe kuongeza mapambano yaliyoendeshwa na Uhamiaji ku-recruit Kakobe Praise Team ?
 
Hongera kwa uteuzi, mmmhh Kichere kwa performance aliyoonyesha TRA will he make a good CAG? Tumpe muda CV sio mbaya but hana CPA, hana ACCA. Ila nasema ni kumpa muda, sbb ameshafanya sana as internal auditor, kazi ataweza tu
October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450]

November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania [CPA (T)]
 
Huyu jamaa ana CPA kweli? Alafu mbona elimu yake ina viraka vingi sana?
Ndiyo sifa anazotaka Jiwe ili amburuze.
Siku akiondoka na kuondolewa kinga ili ashitakiwe, atadai yalifanywa na Kichere mbwa wake
 
We ni mbwekaji hujui Kitu

Sheria inasema CAG ataajiriwa kwa mkataba wa miaka mitano

Huo umri mpelekee uliobaki mpelekee baba ako akamwajiri
Kiazi baba yako.
Bado hajatimiza 60 years. Halafu unashangaa kitu gani wakati Pombe amebobea kukiuka katiba?
 
Hongera kwa uteuzi, mmmhh Kichere kwa performance aliyoonyesha TRA will he make a good CAG? Tumpe muda CV sio mbaya but hana CPA, hana ACCA. Ila nasema ni kumpa muda, sbb ameshafanya sana as internal auditor, kazi ataweza tu
Mambo hayatakiwi kuenda hivi......kama hana baadhi ya vitu kwa nini ateuliwe....kwa dhoruba iliyomkuta hataweza kusimamia chochote...at last kifo cha Tanzania kimefika
 
Back
Top Bottom