Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
CV HAIFANYI KAZI. MSUKUMA HANA ILIMU LAKINI ANACHANGIA VITU VYA MAANA BUNGENI KULIKO MA PROFESA....
Anachangia nn? Upumbafu anaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CV HAIFANYI KAZI. MSUKUMA HANA ILIMU LAKINI ANACHANGIA VITU VYA MAANA BUNGENI KULIKO MA PROFESA....
Acha uongo. Kichere Mkurya na Magufuli Msukuma, ujomba wapi na wapi. Aliekuambia ni yule yule mzushi wa siku zote.Kichere tumeambiwa ni mjomba wake.
Embu cheki Sheria ya Ofisi ya CAG inasemaje....usijekuta imetoa masharti mengineTaarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Prof.Mussa Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano kwenye nafasi hiyo. Lakini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (ambayo ndio sheria mama) haelezi hicho kinachoitwa "kipindi cha miaka mitano"
_
Katiba inaeleza kuwa CAG atakoma utumishi wake atakapotimiza umri wa miaka 60. Yani akifikisha umri wa miaka 60 anapumzika bila kujalisha ametumikia nafasi hiyo kwa muda gani. Iwe miezi miwili, miaka nane, au miaka kumi.
Ndio maana maCAG wote waliotangulia wameongoza ofisi hiyo kwa vipindi tofauti. Mzee Mohamed Aboud aliongoza kwa miaka 27 tangu 1969 hadi 1996. Thomas Kiama akaongoza kwa miaka 9 tangu 1996 hadi 2005. Ludovick Utouh akaongoza kwa miaka 8 tangu 2006 hadi 2014. Sasa hii kauli ya kusema Assad amemaliza kipindi chake cha "miaka mitano" imetoka wapi?
Matakwa ya kikatiba ni umri wa miaka 60, unless aondolewe kwa kushindwa kutimiza majukumu yake. Na ikitokea hivyo Katiba imeweka utaratibu wa kumuondoa kwa kuunda tume.
Lakini taarifa ya Ikulu inaeleza Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano. Je hiki kipindi cha miaka mitano Ikulu wamekitoa wapi? Kwenye sheria ipi? Kama ipo sheria hiyo ipo ni batili maana inapingana na katiba.
Na kwa kawaida unapotokea mgogoro kati ya sheria na katiba, basi Katiba ndiyo inayoshika hatamu (When a state law conflicts with a Constitution, then constitution prevails because constitution rules supreme above all state laws).
_
Prof.Assad amezaliwa tar.06 October mwaka 1961. Kwa sasa ana umri wa miaka 58. Atafikisha umri wa miaka 60 October 06 mwaka 2021. Hivyo kwa mujibu wa KATIBA alipaswa kustaafu nafasi yake ya CAG akifikisha umri huo, na si kwa hiki kinachoitwa "miaka mitano". I stand to be corrected.!View attachment 1252811
Hakuna CAG wa wanyonge. Kinachotakiwa ni uadilifu. Hata ukitoka kwenye familia maskini, kama wewe ni mwizi utakuwa mwizi tu. Kumbuka hata katika wanyonge kuna waliyo afadhali. Watanzania wengi wanatoka familia za kinyonge kiuchumi. Lakini Nyerere hakutoka familia ya kinyonge kiuchumi. Baba yake alikuwa chifu na kuchumi alikuwa afadhali. Lakini yeye alikuwa raisi wa wanyonge.Rais ameteua CAG mnyonge, kwa ajili ya Serikali ya wanyonge. Hatari sana.
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"Hatimaye uchafu wote kufichwa
Tuna safari ndefu sana awamu hii.
Kichere kawa CAG?
Kwani Assad amestaafu?
Oooh, kumbe amenyimwa extension ya miaka mingine 5.
Serikali imecheza na loophole ya sheria.
Kweli nimeamini sasa Magufuli ni Fisadi. Utawala huu ukiwa mtu makini unapigwa bench ila mazezeta wanapewa vyeo.
Ndio maana tunasema huyu MtuPori huwa haeleweki au tuseme anaropoka bila kupima maneno. Leo unamshusha cheo mtu kuwa utendaji wake hauridhishi, baada ya muda mfupi unampa madaraka makubwa zaidi hata ya Yale uliyokuwa umemvua.Only in Tanzania. Miezi michache tu alimtumbua toka TRA hadi kuwa RAS.
Alisema dhahiri kashindwa kazi TRA. Sasa ataweza kuwa CAG na elimu yake yenye mashaka?
hiki kitendo kinaonyesha vile magufuli amekosa INTELLEGENT WAY OF THINKING AND DOING THINGS,but i dont blame magufuli i blame his lack of educationNdiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Viweshawekwa mkuu au mpaka na interpretation unataka nikufanyie? Basi itabidi unilipe legal consultation fees mkuu!!Viweke hapa usilete upoyoyo.
Ass!hiki kitendo kinaonyesha vile magufuli amekosa INTELLEGENT WAY OF THINKING AND DOING THINGS,but i dont blame magufuli i blame his lack of education
Mkuu mbona unachanganya mambo? CAG ameomba kuondoka lini? Huyu amestaafishwa bila hata ya yeye mwenyewe kupewa taarifa, fuatiliana maoni yake baada ya hizi taarifa za CAG mpya.Hakuna CAG wa wanyonge. Kinachotakiwa ni uadilifu. Hata ukitoka kwenye familia maskini, kama wewe ni mwizi utakuwa mwizi tu. Kumbuka hata katika wanyonge kuna waliyo afadhali. Watanzania wengi wanatoka familia za kinyonge kiuchumi. Lakini Nyerere hakutoka familia ya kinyonge kiuchumi. Baba yake alikuwa chifu na kuchumi alikuwa afadhali. Lakini yeye alikuwa raisi wa wanyonge.
Ukiangalia TZ maraisi wengi walitoka kwenye familia zenye hali mbaya kuuchumi, lakini tunajuwa kilichotokea. Kwa hiyo mtu anaweza akatoka kwenye utajiri lakini akawa na moyo wa kuwatetea wanyonge. Anaweza akatokana na wanyonge kiuchumi na akawa mfakamiaji wa mali za walipa kodi, tena anakula bila kunawa.
Kwa hiyo mimi naona Assad alikuwa pia wa wanyonge lakini kulikuwa na mikwaruzano ya kibinadamu, ambayo kiukweli ilikuwa vigumu kuongezewa muda. Hata Assad nadhani aliyaona hayo na hakutaka kuwa chanzo cha migogoro ya mihimili mitatu. Bunge (spika) tayari alikuwa haelewani na CAG lakini hao wawili wanatakiwa kufanya kazi pamoja. Mimi ninamsifu CAG kuyaona hayo na kuamuwa kuondoka. Maana angeomba kuongezewa angemweka raisi pabaya, maana kulikuwa na uwezekano wa kutomuongezea muda maana tayari alikuwa na mkwaruzano na Bunge (spika).
Hicho kitengo cha ujasusi watu wake watatoka sayari gani? Na watakuwa wanafanya kazi chini ya nani? Bajeti yao je? Na recruitment atafanya nani?
Huko nyuma walikuwa hawapigi !? Nani aliwazuia ?Leo wapigaji watakuwa na furaha hatari hakuna wa kuhoji tena