mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Apr 16, 2024 #41 Azniv Protingas said: Kweli serikali imeshindwa kutengeneza vivuko kama hivyo vya Azam, au bora mradi wote wamuachie Azam Tu. Click to expand... Serikali wanachoweza ni kugawa pesa kwa kila goli na kuwaita wasanii na machawa wakate mauno jukwani Ova
Azniv Protingas said: Kweli serikali imeshindwa kutengeneza vivuko kama hivyo vya Azam, au bora mradi wote wamuachie Azam Tu. Click to expand... Serikali wanachoweza ni kugawa pesa kwa kila goli na kuwaita wasanii na machawa wakate mauno jukwani Ova
C Christopher krugger JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 215 Reaction score 392 Apr 16, 2024 #42 Kwa Azam kusema kweli 5ml ni ndogo mno labda waseme wanatoa msaada .....afu hyo hela ya mapato mbona ndogo sana au sijaelewa?
Kwa Azam kusema kweli 5ml ni ndogo mno labda waseme wanatoa msaada .....afu hyo hela ya mapato mbona ndogo sana au sijaelewa?
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Nov 7, 2024 #43 Erythrocyte said: Pigeni hela bhana . Click to expand... hahaha, mbona kinyonge hivyo