Samia Huwa akiagiza hiyo ndege ibebe hizo timu zake Huwa anakodi au mkubwa kasema!?Wakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"
Wafanya kazi ni wengi kuliko idadi ya ndege?Wakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"
Sasa mkuu bila elimu hata hatutafika mbaliTraxtion njoo uone wanaondesha hilo shirika wote wana elimu za kizungu...π π Elimu ya kizungu ndio unafundisha wizi na survival of the fittest...Maadili ya mwafrika wizi ni mwiko na ukishika ni kipigo .
Kaangalie Mkurugenzi hapa itakuwa kasoma huko nje kwa wazungu.
Moderator badilisha headingWakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"
π π Kujiongeza mzigo hiyo ni mifumo ya wazungu ,kwa kweli tunafanya ila haiendani na sisi tunabaki kukopa ili kununua ndege na sisi tuonekane tunaenda kwa wakati ila sio asli yetu.Sasa mkuu bila elimu hata hatutafika mbali
Kumbuka hata kuzuia hizo hasara tunahitaji elimu pia
Sababu sio wazunguπ π Kujiongeza mzigo hiyo ni mifumo ya wazungu ,kwa kweli tunafanya ila haiendani na sisi tunabaki kukopa ili kununua ndege na sisi tuonekane tunaenda kwa wakati ila sio asli yetu.
Hakuna huyo Tz ,hawa wapiga kelele hasa wanasiasa waogope kama UKIMWI ... Mashirika hayo ukitaka wawe successful lazima kuwe na ngozi nyeupe kwenye management ; hizo ni biashara zao..Sababu sio wazungu
Wapo ambao wanajua kufikiria nje ya box lakini hawana nafasi kwenye serikali ya Tanzania