Jakamageta
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 491
- 953
Mtu anakufa dodoma anaagwa viwanja vya bunge then anasafirishwa na shirika la ndege la ATCL kuja Karimjee Dar na waagaji ni walewale then mwili unaingizwa kama Cargo kwenye ndege unasafiri na watu wasiolipa nauli kama 80 kwenda Iringa na
Kwa matumizi mabovu hayo Kwanini shirika lisipate hasara ?
Serikali haiwezi fanya biashara ikafanikiwa bora binafsisheni shirika hilo hata SGR ni suala la muda tu litafirisika mpaka mkimbie, nchi inapoongozwa na viongozi mafisadi na viongozi wasio vison inakuwaga hivyo.