CAG: Shirika la Ndege ATCL limepata hasara Tsh Bilioni 191.91. Ni ongezeko la 108% ndani ya mwaka mmoja

Jumla ya hasara ni zaidi ya Bilioni 700,huu ni upumbavu na wanaouvhlia ni Kwa sababu wananufaika nao Kwa gharama ya watu maskini wa Vijijini.
Wakuu,

Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema

"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"

Kumpa uongozi mwanamke au muislamu ni kosa la kujitakia ...mwanamke kamwe awezi kuwa na akili ya uongozi...anaweza kuwa na akili zingine ila hii ya uongozi kamwe mwanamke awezi kuwa nayo ni kama waislamu wanao amini katika uislamu...mtu akisha amini katika uislamu tayari ni usibitisho wa huyo mtu kukosa akili ya kupambanua mambo kwa usahihi na kukosa akili ya Logic...sasa mtu wa hivyo anawezaje kuwa kiongozi
 
Kwani kuna mradi gani unaosimamiwa na Serikali uliwahi kutengeneza faida?

Wasimamizi wa hiyo miradi wanateuliwa kwa kuangalia affiliations zao za kisiasa, na kwa sasa, pia uwezo wao wa kuwa machawa. Na kuwa chawa, ni kuwa tayari kuondolewa akili. Halafu wanaendesha mashirika yaliyotakiwa kuzingatia kanuni za kibiashara, kwa kusikiliza maelekezo na matakwa ya wanasiasa, halafu utegemee yatengeneze faida?

Serikali hii hata ikianzisha mradi wa vyoo, mwisho wa siku watakuja na matokea ya hasara za mabilioni ya hela.

Kipingamizi kikubwa cha maendeleo ya nchi hii ni CCM.
na serikali yake. Serikali ya CCM badala ya kuwa mwezeshaji wa maendeleo, kwa kiasi kikubwa, inakuwa kizingiti cha maendeleo. Hakuna cha kushangaza kwenye hiyo report.
 
Akili mbovu za chadema hizi ...wako wapumbavu mnadhani nchi inaweza kuendelea pasipo serikali kuendesha secta muhimu ...wawekezaji wakubwa duniani ni virus wabaya sana...ndiyo wanao fanyaga njama za kuua wazalendo wa nchi zetu na kupandikiza viongozi vibaraka... kuna secta azitakiwi kabisa kuruhusu secta binafsi hasa kwa africa ambapo mifumo ya sheria na haki ipo kumgandamiza mtu mnyonge ...wapo watu hamjui uhusiano wa secta binafsi Tanzania na mkwamo wa katiba na mkwamo wa democracy na mkwamo wa uchaguzi oct29 na uhusiano na yale yaliyo tokea Oct 29 ...jiulizeni vp hatima ya DP WORLD NA MIKATABA YAKE YA KIHUNI KAMA MUHUNI WANAYE MTUMIA ANGETOLEWA MADARAKANI HIYO OCT29 ?
 
Yani mimi naona solution ni kuajiri wataalam tena wazungu. Chukua watu wanne kutoka hata emirates huko walete wape shirika waweke mifumo ya operations vizuri ninaamini hasara itaanza kushuka kwa kasi...kuendelea kujaza wabongo hawawezi kubadili chochote kama wanajua wakiiba wanaishia kuzomewa tu
Wapo Wabongo ni wazuri kwenye usimamizi pamoja na ubunifu wa biashara

Changamoto iliyopo ni hizo nafasi kutolewa kwa watu wanaojuana ama kiupendeleo

Mbona Clouds Media inakuwa kila leo wakati waliokuwa pale walikuwa Wabongo wenzetu akina Marehemu Ruge

Japo hata hiyo idea ya kuwaajiri wageni pia inaweza kuleta matunda chanya..

Jambo la kuzingatia ni kwamba tuache Siasa ijitenge na utaalamu

Kuna wakati ndege zina amrishwa kuhairisha route kisa kutumiwa na serikali ama viongozi wakubwa wa Kitaifa

Nimewahi kukutana na tukio la ndege kusubirishwa zaidi ya masaa mawili kisa kuna Kiongozi Mkubwa wa Kitaifa alikuwa anasubiriwa tuondoke naye

Kwa abiria wa ndege, kumsubirisha masaa mawili sio jambo zuri kibiashara, lakini wapo wanaofanya hivyo
 
Mkuu rekebisha hesabu zako, hiyo 191.. ni kwa mwaka mmoja, sawa na hizo 15.99 kila mwezi.(Sio kila mwaka), hasara 16bil Kwa mwezi sawa na 4bil Kwa week +/-
Nipo sahihi Mkuu, hiyo ni taarifa ya mwaka wa fedha 2024/25

Kawaida Mwaka wa fedha wa Serikali huanza 1 July hadi 30 Juni mwaka unaofuata, hivyo ni kipindi cha miezi 12 ambacho ni mwaka mmoja
 
Kwani kuna mradi gani unaosimamiwa na Serikali uliwahi kutengeneza faida?

Wasimamizi wa hiyo miradi wanateuliwa kwa kuangalia affiliations zao za kisiasa, na kwa sasa, pia uwezo wao wa kuwa machawa. Na kuwa chawa, ni kuwa tayari kuondolewa akili. Halafu wanaendesha mashirika yaliyotakiwa kuzingatia kanuni za kibiashara, kwa kusikiliza maelekezo na matakwa ya wanasiasa, halafu utegemee yatengeneze faida?

Serikali hii hata ikianzisha mradi wa vyoo, mwisho wa siku watakuja na matokea ya hasara za mabilioni ya hela.

Kipingamizi kikubwa cha maendeleo ya nchi hii ni CCM.
na serikali yake. Serikali ya CCM badala ya kuwa mwezeshaji wa maendeleo, kwa kiasi kikubwa, inakuwa kizingiti cha maendeleo. Hakuna cha kushangaza kwenye hiyo report.
Serikali ijitoe kufanya biashara,angalia stendi tuu za mabasi au mwendokasi umrwashinda ndio wataweza ndege?
 
Wapo Wabongo ni wazuri kwenye usimamizi pamoja na ubunifu wa biashara

Changamoto iliyopo ni hizo nafasi kutolewa kwa watu wanaojuana ama kiupendeleo

Mbona Clouds Media inakuwa kila leo wakati waliokuwa pale walikuwa Wabongo wenzetu akina Marehemu Ruge

Japo hata hiyo idea ya kuwaajiri wageni pia inaweza kuleta matunda chanya..

Jambo la kuzingatia ni kwamba tuache Siasa ijitenge na utaalamu

Kuna wakati ndege zina amrishwa kuhairisha route kisa kutumiwa na serikali ama viongozi wakubwa wa Kitaifa

Nimewahi kukutana na tukio la ndege kusubirishwa zaidi ya masaa mawili kisa kuna Kiongozi Mkubwa wa Kitaifa alikuwa anasubiriwa tuondoke naye

Kwa abiria wa ndege, kumsubirisha masaa mawili sio jambo zuri kibiashara, lakini wapo wanaofanya hivyo
Kuna muda utasikia bosi kubwa ametoa ndege bure iwapeleke wachezaji wa stars morocco. Ndege inaenda na inakaa huko kuwasubiri ili irudi nao.
 
Kwani kuna mradi gani unaosimamiwa na Serikali uliwahi kutengeneza faida?

Wasimamizi wa hiyo miradi wanateuliwa kwa kuangalia affiliations zao za kisiasa, na kwa sasa, pia uwezo wao wa kuwa machawa. Na kuwa chawa, ni kuwa tayari kuondolewa akili. Halafu wanaendesha mashirika yaliyotakiwa kuzingatia kanuni za kibiashara, kwa kusikiliza maelekezo na matakwa ya wanasiasa, halafu utegemee yatengeneze faida?

Serikali hii hata ikianzisha mradi wa vyoo, mwisho wa siku watakuja na matokea ya hasara za mabilioni ya hela.

Kipingamizi kikubwa cha maendeleo ya nchi hii ni CCM.
na serikali yake. Serikali ya CCM badala ya kuwa mwezeshaji wa maendeleo, kwa kiasi kikubwa, inakuwa kizingiti cha maendeleo. Hakuna cha kushangaza kwenye hiyo report.
Umeandika point ya maana sana mpaka chawa ChoiceVariable ame-appreciate
 
Nipo sahihi Mkuu, hiyo ni taarifa ya mwaka wa fedha 2024/25

Kawaida Mwaka wa fedha wa Serikali huanza 1 July hadi 30 Juni mwaka unaofuata, hivyo ni kipindi cha miezi 12 ambacho ni mwaka mmoja
Sawa, sasa soma maelezo yako ya awali mkuu, ulisema hiyo ni sawa na bilioni 15.99 kwa mwaka.
"Hasara ya 191.91 Bilioni ni wastani wa bilioni 15.99 kila Mwaka",
Nimekunukuu hapo juu ila naona ni typing error, nimeelewa mkuu. Rudi post yako #5
 
Yaani wewe unahisi kuna siku ATCL itatengeneza faida? Shirika linaloendeshwa kisiasa na CCM!! Never, unaota gentleman amka utajikojolea.

Labda watangaze faida ya uongo ili kufurahisha jamii, lakini faida ya kweli kwa ATCL katika kipindi hiki cha ushindani wa kimataifa kwa mashirika ya ndege, shirika linaloongozwa kisiasa haliwezi kutoboa, NEVER
gentleman,
mbona akina Heche wana beti na kuliwa na muhindi kila siku mpaka wakafilisika pensioni yote ya ubunge, lakini bado hawaachi kubeti? unadhani anapata hasara au faida?

na hata wakulima nchini,
wengi wanalima kwa gharama kubwa na hakuna mavuno ya maana, unadhani wanapata hasara au faida gentleman?
kama wanapata hasara, kulikoni hawaachi kulima?

nadhani uelewa na ufahamu wako kidogo una changamoto kuhusu biashara.
ukipata hasara, unaitumia hiyo hasara kama fursa ya kupata faida, that is natural business formula gentleman
 
Kuna muda utasikia bosi kubwa ametoa ndege bure iwapeleke wachezaji wa stars morocco. Ndege inaenda na inakaa huko kuwasubiri ili irudi nao.
Na hapo ndipo tunapotia hasara, hawa Viongozi wa hayo mashirika hawasemi tu ukweli wa mambo lakini inaonekana wanatumwa safari nyingi ambazo hawalipwi hata senti tano
 
Sawa, sasa soma maelezo yako ya awali mkuu, ulisema hiyo ni sawa na bilioni 15.99 kwa mwaka.
"Hasara ya 191.91 Bilioni ni wastani wa bilioni 15.99 kila Mwaka",
Nimekunukuu hapo juu ila naona ni typing error, nimeelewa mkuu. Rudi post yako #5
Asante kusahihisha 🙏
 
Back
Top Bottom