Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Sio kuzungumziwa ni umeshakufa kifo cha mende. Tatizo la kukurupuka kwa viongozi wasio na utaalamu wowote…!!Ila Tanganyika bana. Nakumbuka ule mradi wa Bashe sijui BBT? Nowadays hakuna anayeuzungumzia tena, ni kama vile haukuwahi kuwepo na hakuna anayewajibika.