Jakamageta
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 491
- 953
I dont know kwakweli ni kama state owned companies runs on hasara everytimeKama taifa sioni ni wapi tinaweza kujivunia tunafanya vizuri kiuchumi, that's really bad!!
Wakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"
Mtu anachukua Airbus anakwenda nayo Ethiopia... sijui kikao Cha AU...Mtu anakufa dodoma anaagwa viwanja vya bunge then anasafirishwa na shirika la ndege la ATCL kuja Karimjee Dar na waagaji ni walewale then mwili unaingizwa kama Cargo kwenye ndege unasafiri na watu wasiolipa nauli kama 80 kwenda Iringa na
Kwa matumizi mabovu hayo Kwanini shirika lisipate hasara ?
Serikali haiwezi fanya biashara ikafanikiwa bora binafsisheni shirika hilo hata SGR ni suala la muda tu litafirisika mpaka mkimbie, nchi inapoongozwa na viongozi mafisadi na viongozi wasio vison inakuwaga hivyo.
Biashara za wabongo ni kama zipiHakuna huyo Tz ,hawa wapiga kelele hasa wanasiasa waogope kama UKIMWI ... Mashirika hayo ukitaka wawe successful lazima kuwe na ngozi nyeupe kwenye management ; hizo ni biashara zao..
Kubali ukweli hizo sio biashara za wabongo 😅
Hao wawekezaji wangeingia kwa mgongo wa wazawa tu na wasingetuchukulia serious piaSerikali ilitakiwa ijenge miundombinu, halafu ivutie wawekezaji binafsi kuendesha haya mashirika ya ndege, reli, mwendokasi, barabara, nk. Yenyewe ingejikita kwenye kukusanya kodi tu na kuiboresha hiyo moumdombinu.
Hii mambo ya kutengeneza hasara kila mwaka, haina afya hata kidogo kwa Taifa.
Angalia Tim yao nzima utapata cha kujifunzaBiashara za wabongo ni kama zipi
Fast jet na Precision Air why zina afadhali wakati ni wazawa
Ila Tanganyika bana. Nakumbuka ule mradi wa Bashe sijui BBT? Nowadays hakuna anayeuzungumzia tena, ni kama vile haukuwahi kuwepo na hakuna anayewajibika.Hiyo mindege haijawahi kuleta faida hata siku moja. Wamejazana wezi wanaozihujumu.
Tanzania hakuna mradi unaoendeshwa kwa faida ni hasara na hakuna uwajibikaji..!!
Tatizo letu jingine ni uwajibikaji na watu wanavyopatikana ,Mkurugenzi washirika ni chawa hamna sehemu yoyote anawajibika zaidi ya mteuaji akiona anafaa kingine mfano hata ukisababishq hasara hamna action yoyote inachukuliwaAngalia Tim yao nzima utapata cha kujifunza
Wanasiasa wanavuruga nchi zetu ..Wanawekana yaani chama kimoja kinaendesha watu milion zaidi ya 60 ..😅😅Wanachagua wao mpaka wakurugenziTatizo letu jingine ni uwajibikaji na watu wanavyopatikana ,Mkurugenzi washirika ni chawa hamna sehemu yoyote anawajibika zaidi ya mteuaji akiona anafaa kingine mfano hata ukisababishq hasara hamna action yoyote inachukuliwa
Inapelekea mtu akiingia huko anaenda kujineemenesha tu
Mkuu hayo ni mapumbavu useless and nonsense ya Samia
gentleman,
Biashara gani yenye hasara kila mwaka ?gentleman,
hasara katika biashara ni jambo la kawaida,
na ni fursa muhimu sana pia katika kujisahihisha, kujirekebisha, kuchukua hatua ili hatimae kufanya vizuri zaidi mbeleni.
so don't panic na uache kuweweseka pia.
unaweza kua na biashara inayokupa hasara hata kwa miaka 10, lakini kwa kujipanga vema biashara hiyo hiyo ikakupa faida miaka 50.Biashara gani yenye hasara kila mwaka ?
YAwezekana wengi wa viongozi wanapanda hizo ndege free of charge. Au serikali wanazitumia hawalipi.Wakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"