ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"
Kumpa uongozi mwanamke au muislamu ni kosa la kujitakia ...mwanamke kamwe awezi kuwa na akili ya uongozi...anaweza kuwa na akili zingine ila hii ya uongozi kamwe mwanamke awezi kuwa nayo ni kama waislamu wanao amini katika uislamu...mtu akisha amini katika uislamu tayari ni usibitisho wa huyo mtu kukosa akili ya kupambanua mambo kwa usahihi na kukosa akili ya Logic...sasa mtu wa hivyo anawezaje kuwa kiongoziWakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la 108%"
Wapo Wabongo ni wazuri kwenye usimamizi pamoja na ubunifu wa biasharaYani mimi naona solution ni kuajiri wataalam tena wazungu. Chukua watu wanne kutoka hata emirates huko walete wape shirika waweke mifumo ya operations vizuri ninaamini hasara itaanza kushuka kwa kasi...kuendelea kujaza wabongo hawawezi kubadili chochote kama wanajua wakiiba wanaishia kuzomewa tu
Nipo sahihi Mkuu, hiyo ni taarifa ya mwaka wa fedha 2024/25Mkuu rekebisha hesabu zako, hiyo 191.. ni kwa mwaka mmoja, sawa na hizo 15.99 kila mwezi.(Sio kila mwaka), hasara 16bil Kwa mwezi sawa na 4bil Kwa week +/-
Serikali ijitoe kufanya biashara,angalia stendi tuu za mabasi au mwendokasi umrwashinda ndio wataweza ndege?Kwani kuna mradi gani unaosimamiwa na Serikali uliwahi kutengeneza faida?
Wasimamizi wa hiyo miradi wanateuliwa kwa kuangalia affiliations zao za kisiasa, na kwa sasa, pia uwezo wao wa kuwa machawa. Na kuwa chawa, ni kuwa tayari kuondolewa akili. Halafu wanaendesha mashirika yaliyotakiwa kuzingatia kanuni za kibiashara, kwa kusikiliza maelekezo na matakwa ya wanasiasa, halafu utegemee yatengeneze faida?
Serikali hii hata ikianzisha mradi wa vyoo, mwisho wa siku watakuja na matokea ya hasara za mabilioni ya hela.
Kipingamizi kikubwa cha maendeleo ya nchi hii ni CCM.
na serikali yake. Serikali ya CCM badala ya kuwa mwezeshaji wa maendeleo, kwa kiasi kikubwa, inakuwa kizingiti cha maendeleo. Hakuna cha kushangaza kwenye hiyo report.
Kuna muda utasikia bosi kubwa ametoa ndege bure iwapeleke wachezaji wa stars morocco. Ndege inaenda na inakaa huko kuwasubiri ili irudi nao.Wapo Wabongo ni wazuri kwenye usimamizi pamoja na ubunifu wa biashara
Changamoto iliyopo ni hizo nafasi kutolewa kwa watu wanaojuana ama kiupendeleo
Mbona Clouds Media inakuwa kila leo wakati waliokuwa pale walikuwa Wabongo wenzetu akina Marehemu Ruge
Japo hata hiyo idea ya kuwaajiri wageni pia inaweza kuleta matunda chanya..
Jambo la kuzingatia ni kwamba tuache Siasa ijitenge na utaalamu
Kuna wakati ndege zina amrishwa kuhairisha route kisa kutumiwa na serikali ama viongozi wakubwa wa Kitaifa
Nimewahi kukutana na tukio la ndege kusubirishwa zaidi ya masaa mawili kisa kuna Kiongozi Mkubwa wa Kitaifa alikuwa anasubiriwa tuondoke naye
Kwa abiria wa ndege, kumsubirisha masaa mawili sio jambo zuri kibiashara, lakini wapo wanaofanya hivyo
Umeandika point ya maana sana mpaka chawa ChoiceVariable ame-appreciateKwani kuna mradi gani unaosimamiwa na Serikali uliwahi kutengeneza faida?
Wasimamizi wa hiyo miradi wanateuliwa kwa kuangalia affiliations zao za kisiasa, na kwa sasa, pia uwezo wao wa kuwa machawa. Na kuwa chawa, ni kuwa tayari kuondolewa akili. Halafu wanaendesha mashirika yaliyotakiwa kuzingatia kanuni za kibiashara, kwa kusikiliza maelekezo na matakwa ya wanasiasa, halafu utegemee yatengeneze faida?
Serikali hii hata ikianzisha mradi wa vyoo, mwisho wa siku watakuja na matokea ya hasara za mabilioni ya hela.
Kipingamizi kikubwa cha maendeleo ya nchi hii ni CCM.
na serikali yake. Serikali ya CCM badala ya kuwa mwezeshaji wa maendeleo, kwa kiasi kikubwa, inakuwa kizingiti cha maendeleo. Hakuna cha kushangaza kwenye hiyo report.
Sawa, sasa soma maelezo yako ya awali mkuu, ulisema hiyo ni sawa na bilioni 15.99 kwa mwaka.Nipo sahihi Mkuu, hiyo ni taarifa ya mwaka wa fedha 2024/25
Kawaida Mwaka wa fedha wa Serikali huanza 1 July hadi 30 Juni mwaka unaofuata, hivyo ni kipindi cha miezi 12 ambacho ni mwaka mmoja
gentleman,Yaani wewe unahisi kuna siku ATCL itatengeneza faida? Shirika linaloendeshwa kisiasa na CCM!! Never, unaota gentleman amka utajikojolea.
Labda watangaze faida ya uongo ili kufurahisha jamii, lakini faida ya kweli kwa ATCL katika kipindi hiki cha ushindani wa kimataifa kwa mashirika ya ndege, shirika linaloongozwa kisiasa haliwezi kutoboa, NEVER
Na hapo ndipo tunapotia hasara, hawa Viongozi wa hayo mashirika hawasemi tu ukweli wa mambo lakini inaonekana wanatumwa safari nyingi ambazo hawalipwi hata senti tanoKuna muda utasikia bosi kubwa ametoa ndege bure iwapeleke wachezaji wa stars morocco. Ndege inaenda na inakaa huko kuwasubiri ili irudi nao.
Asante kusahihisha 🙏Sawa, sasa soma maelezo yako ya awali mkuu, ulisema hiyo ni sawa na bilioni 15.99 kwa mwaka.
"Hasara ya 191.91 Bilioni ni wastani wa bilioni 15.99 kila Mwaka",
Nimekunukuu hapo juu ila naona ni typing error, nimeelewa mkuu. Rudi post yako #5