Alibomoa hovyo jengo la tanesco kwa chuki tu pasipo sababu na chuki ndio imemua. Hakuna kitu kinachoua haraka Sana kama chuki, hasira, visasi inakumaliza na kuula moyo wako kwa haraka Sana.Jiulize why viongozi wa kiislamu wote still wangali hai tofauti na wakristo wote wamelala.Uwazi!!! uwazi!!! Haya ndio mambo alikuwa hayataki Marehemu sasa taratibu tutayaona madhara yake yale ya jengo la tanesco yanaweza kujiludia