CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

Mambo ya foleni CAG hayamhusu,yeye akague kama pesa ilitumika sawa. ila ni kweli hiyo stendi itaongeza foleni la sivyo tuandae barabara mbadala za magari yatakayo toka kwenye hiyo stendi.
 
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.

Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.

Ukinizingua Nitakuzingua!
CAG ni Engineer kwani? Bora iongeze foleni huko kuliko Ubungo. Kuondoka kwa Stand kumefungua barabara mabasi yalikuwa yanaweka sana foleni sana. Ila kwa sasa huko iliko ni marekebisho ni kidogo tu ni kuweka underpath.
 
Mungu mkubwa sana anaipenda Tanzania, yaani kuna watu walitaka aongezewe muda wa kutawala
 
CAG kama trafiki lazima akukute na kosa akikuchunguza.
 
CAG bwana hiyo Stand ya Kibamba ipi ??

Maana wengine tunaifahamu ya mbezi mwisho.
 
Alibomoa hovyo jengo la tanesco kwa chuki tu pasipo sababu na chuki ndio imemua. Hakuna kitu kinachoua haraka Sana kama chuki, hasira, visasi inakumaliza na kuula moyo wako kwa haraka Sana.Jiulize why viongozi wa kiislamu wote still wangali hai tofauti na wakristo wote wamelala.
Inatafakarisha adse
 
Tatizo lilopo ni kuwa mabasi ya kutoka kanda ya kaskazini yanapitia barabara ya goba yanapotoka mikoani kwenda mbezi hivo kuongeza foleni
 
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.

Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.

Ukinizingua Nitakuzingua!
Yaani wewe zumbukuku mkuu kwa kuwa haikuwemo kwenye plan basi itaongeza msongamono? kwanini isipunguze msongamano, je ingabaki Ubungo ndio ingepunguza msongamano? kwa njia zipi kwani kuna tofauti gani Ubungo na Mbezi? wewe umenikumbusha wale maprofesa wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam waliokuwa wanapinga ujenzi wa hosteli ya Magufuli pale Sam Nujoma wakisema plan iliyopo si ya kujenga hosteli wakakenda mbali kuwa hiyo plan ilipitishwa na Mwalimu Nyerere, wakaulizwa na Mlimani City je ilijengwa wakati plan iliyopitishwa na Nyerere ikiwa bado? jibu likawa uduanzi.Tuache kufanya mambo kwa kutofikiri na hapo ndipo nitazidi kumkumbuka mwendazake JPM nitamkumbuka hadi kaburini.
 
Kwani stendi imejengwa ndani ya hifadhi ya barabara? Tunafahumu mbezi - kimara kulikuwa na bomoabomoa, sasa inakuwaje wenyewe wanajenga ndani ya hifadhi.
Sio kwenye hifadhi ya barabara, bali imejengwa barabarani kabisa, uwa nashangaa nikipita jinsi ile stand ilivyo barabarani
 
Yaani wewe zumbukuku mkuu kwa kuwa haikuwemo kwenye plan basi itaongeza msongamono? kwanini isipunguze msongamano, je ingabaki Ubungo ndio ingepunguza msongamano? kwa njia zipi kwani kuna tofauti gani Ubungo na Mbezi? wewe umenikumbusha wale maprofesa wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam waliokuwa wanapinga ujenzi wa hosteli ya Magufuli pale Sam Nujoma wakisema plan iliyopo si ya kujenga hosteli wakakenda mbali kuwa hiyo plan ilipitishwa na Mwalimu Nyerere, wakaulizwa na Mlimani City je ilijengwa wakati plan iliyopitishwa na Nyerere ikiwa bado? jibu likawa uduanzi.Tuache kufanya mambo kwa kutofikiri na hapo ndipo nitazidi kumkumbuka mwendazake JPM nitamkumbuka hadi kaburini.
Jifunze kuandika bwashee!
 
Ukaguzi wa CAG ni mpana sana, acheni ushamba.Haya ni baadhi tu.
1.Anakagua mifumo ya pesa kuingia na kutoka
2.Anakagua matumizi ya pesa kulingana na sheria
3. Anakagua thamani ya huduma au bidhaa kulingana na pesa iliyotumika
4.Anakagua uthabiti wa sera na sheria zinazohusu matumizi ya fedha
5.Anatoa mapendekezo
Huyo CAG huko ni ujipendekeza ama ni nini!!??
foleni zipo kwenye mahesabu anayokagua!!??
 
Hawezi kumkaribia, angekuwepo jiwe mwenyewe isingesomwa kama ilivyosomwa leo ila Asad angemsomea tu.
Huyu jamaa anamkaribia Profesa Asad ver sooon. Nimeanza kumwelewa huyu CAG.
 
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.

Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.

Ukinizingua Nitakuzingua!

JIWE alikuwa mkurupukaji ndio maana akalazimisha CRDB ijengwe chato.
 
Mwendazake na lile bichwa kama tumba ya ubuyu alikua hashauriki wala hambiliki
 
Back
Top Bottom