CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

Uwazi!!! uwazi!!! Haya ndio mambo alikuwa hayataki Marehemu sasa taratibu tutayaona madhara yake yale ya jengo la tanesco yanaweza kujiludia
Alibomoa hovyo jengo la tanesco kwa chuki tu pasipo sababu na chuki ndio imemua. Hakuna kitu kinachoua haraka Sana kama chuki, hasira, visasi inakumaliza na kuula moyo wako kwa haraka Sana.Jiulize why viongozi wa kiislamu wote still wangali hai tofauti na wakristo wote wamelala.
 
Cag kagua value of iliyotumika kujenga jengo Hilo cyo kuja kujipendekeza eti haikuwa kwenye mpngo...hv hayo maneno ungesubutu kumuambia mwenda zake
 
Mama kupitia CAG anataka kuwaondoa watanzania kwenye fikra za Magu ili aanze nao upya.

Kutawala/siasa ni sanaa !
 
The relationship btn water n fish make me believ that hypocricy real exist..especially when i see water iz participatng in cookng fish...Pumzka kwa amani my president of all tym
 
MATAGA leo watalala na BIKINI, maana CAG kawashusha undersketi
 
Hii Nchi Tajiri sana. Tumeibiwa sana. Hii ni vita ya Kiuchumi. Mimi Rais wa wanyonge. Mabeberu hawatutakii mema! Report ya CAG ina Mabeberu mangapi jamani?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hii sio ripoti aliyotakiwa kupelekewa jpm.aki ya mungu wame edit
 
Umenena vyema mzeemwenzangu. Shamba jipya nyani wale wale.
 
Yani huyu CAG ni anachapa mtu viboko alafu anamwambia usikune, ukikuna umefuta naanza upya.
 
Mwenda zaek mwanasayansi, injinia, shemist, IGP, gavana wa BOT, msanifu wa barabara na majengo, in short mwenda zake alikua anamudu sekta zote, ona sasa matokeo yake
Matokeo yana ufanisi sawa sawa na yeye mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…