CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.

Nilidhani hayati Magu alimalizana na Kalasinga juu ya IPTL ,sasa kama wamerudishwa tena kutafuta ESCROW nyingine tunakumbuka aliyesema sio fedha za serikali na sioni wa kumkemea na kumdhibiti.
 
CCM ni ile ile.
 
Duh hii inchi CCM itatuingiza kwenye umaskini wa kupindukia tusipolidhibiti hili sasa
 
CCM waondoke madarakani,,walishindwanini kulipa deni mapema na kuachana na wahusika wa iptl.. au kwa kuwa kikwete ni mnufaiks wa IPTK
Hiyo ni biashara ya kikwete na Rostam azizi...bila ya damu hii code ya ufisadi haiwezi kuvunjwa
 
IPTL bado inadai japo ilikuwa inadaiwa.

RIP Magufuli.
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.

Attachments

  • IMG-20250320-WA0049.jpg
    IMG-20250320-WA0049.jpg
    16.3 KB · Views: 41
Nilidhani hayati Magu alimalizana na Kalasinga juu ya IPTL ,sasa kama wamerudishwa tena kutafuta ESCROW nyingine tunakumbuka aliyesema sio fedha za serikali na sioni wa kumkemea na kumdhibiti.
Nyuma ya singasinga wapo raia feki na waislamu wasio wazalendo ndiyo wenye hiyo miradi ...tatizo jpm akuwa real dictator hao watu bila ya kuuliwa nchi itazama ndiyo hao hao wameanzisha PPP
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.

Mama kasema hayo ni madeni ya nyuma, hadaiwi hata moja.
 
Ila wahuni wanatuibia aisee kwenye hii nchi! Yaani kila kukicha ni madeni tu. Halafu madeni yote ni ya kifisadi! Na serikali inayalipa faster!! CCM ni ya kulaaniwa!
 
Back
Top Bottom